Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking giriş

meritking

meritking

mavibet giriş

meritking telegram

marsbahis giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

marsbahis

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

kingroyal

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

betpas

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

bodrum escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

matbet

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

Featured Kitaifa

MA-RC, MA-DC ANZISHENI OPERESHENI MAALUM ZA ULINZI – MAJALIWA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa taarifa ya Serikali Bungeni kuhusu kupinga ukatili dhidi ya watu wenye Ualbino leo tarehe  20 Juni 2024.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wahakikishe kila halmashauri inaanzisha operesheni maalum za ulinzi kwa watu wenye ualbino.

“Operesheni hizi zihusishe vikosi vya usalama ili kuhakikisha ulinzi wa watu wenye ualbino dhidi ya mashambulizi na vitisho hii ni kwa sababu katika kuzuia unyanyasaji na mauaji ya watu wenye ualbino, Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa zinawajibika katika usimamizi, ulinzi na utoaji wa huduma kwa watu wenye ualbino,” amesema.

Ametoa wito huo leo (Alhamisi, Juni 20, 2024) wakati akitoa taarifa kuhusu kupinga ukatili dhidi ya watu wenye ualbino wakati wa kipindi cha maswali ya Papo Kwa Papo kwa Waziri Mkuu, Bungeni, jijini Dodoma.

Waziri Mkuu amezitaka Mamlaka za Mikoa na Wilaya zihamasishe ushiriki wa jamii katika kuhakikisha ulinzi na haki za watu wenye ualbino kwani vitendo vya mauaji ya albino vinahusisha mtandao wa watu na siyo mtu mmoja mmoja tu.

Amesema Serikali tayari imeshajenga mifumo thabiti ya udhibiti na suala lililobaki ni ushiriki wa makundi yote ya jamii katika kuhakikisha vitendo hivyo viovu vinakomeshwa hapa nchini. “Kwa kutambua jukumu tulilonalo kama Taifa, nitumie nafasi hii kuyataka makundi na taasisi mbalimbali katika jamii kuendelea kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya vitendo hivyo vya ukatili. 

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amewaomba viongozi wa dini waendelee kukemea  kukemea maovu yanayotendeka nchini hususan mauaji kwa watu wenye ualbino kwani kuwepo kwa matukio hayo kunaonesha upotofu wa maadili na kukosa hofu ya Mungu.

“Nitumie nafasi hii kuwaomba viongozi wetu wa dini tuungane pamoja kupambana na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia hata kidogo. Ninawasihi watumie majukwaa yao ya ibada kuwahubiria waumini wao waachane na vitendo hivyo vya ukatili ambavyo hata Mwenyezi Mungu anavikataza. Watu wenye ualbino wana haki ya kuishi kama walivyo watu wengine,” amesisitiza.

Waziri Mkuu amesema waganga wa jadi nchini kote wanapaswa kushiriki kikamilifu katika kampeni za kupinga mauaji ya watu wenye ualbino. “Wakati umefika kwenu nyote kushirikiana na Serikali katika kutokomeza imani potofu zinazochangia mauaji haya. Ninawasihi sana elezeni wazi kwamba hakuna tiba wala mafanikio yanayoweza kupatikana kwa kutumia viungo vya watu wenye ualbino.”

Pia amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala lifanye usajili wa waganga wa jadi na vituo vyao sambamba na aina ya huduma wanayoitoa kwa wateja wao ili kuweza kudhibiti huduma holela isiyofuata misingi ya utu na haki za binadamu.

Mbali na hao, amewataka viongozi wa kimila kutoka kila kona ya Tanzania washiriki kikamilifu katika kukemea na kupinga mauaji ya watu wenye ualbino. “Ninawaomba viongozi wetu wa kimila wakiwemo machifu washirikiane na Serikali kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama pindi wanapopata fununu za mipango au vitendo vya mauaji ya watu wenye ualbino katika maeneo wanayoishi.”

Ili kuhakikisha matukio ya aina hiyo hayatokei, Waziri Mkuu amelielekeza Jeshi la Polisi lichukue hatua za haraka pindi linapopata fununu ya uwepo wa njama za utekaji na mauaji ya watu wenye ualbino. 

Pia ametaka liendelee kufanya operesheni ya kuwakamata wote waliotajwa na watakaotajwa kuhusika kwenye matukio ya aina hii ili kuua mtandao mzima wa wahalifu. “Polisi jamii ishirikishwe kikamilifu ili kupata taarifa zote muhimu katika maeneo husika na watoa taarifa wote walindwe ipasavyo,” amesisitiza.

Wakati huohuo, Waziri Mkuu amesema lengo la Serikali ni kuwalinda wananchi walioathirika kwa kuwa wanahitaji kuwekwa mahali salama kwa kuwa bado wanakuwa wana hofu kutokana na madhila yaliyowafika.

“Sera yetu ya Serikali ni kuwalinda wote wenye ulemavu wa aina yoyote ili washiriki shughuli za maendeleo huku tukihakikisha wanakuwa salama. Malengo yetu ni kutoa uhakika wa maisha yao wakati wote.

“Bado tunaendelea kutafuta njia mbadala ikiwemo kuwachanganya ili wasijione wametengwa. Tumeanza kuwachanganya katika shule za msingi na sekondari ili nao washiriki pamoja kwenye shughulimbaliza kijamii na michezo bila kujali ulemavu wao.”

Alikuwa akijibu swali la Rashid Shangazi (Mbunge wa Mlalo) ambaye alimtaka Waziri Mkuu aeleze ni kwa nini Serikali inapanga kuwaweka waathirika kwenye kambi ilhali ni kinyume na haki ya kuwa huru kama ilivyoelezwa kwenye ibara ya 15(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

About the author

mzalendo