Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHIRIKI KATIKA SWALA YA EID AL ADHA MSIKITI WA MIKOCHENI

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.

About the author

mzalendo