Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

MAJALIWA:TUNAWASAIDIA WAWEKEZAJI WAZAWA KUWA MAHIRI

Written by Alex Sonna

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo Watanzania wanaojishughulisha na masuala ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili kuwasaidia wawe mahiri.

Amesema kuwa sera za uwekezaji nchini zinatoa unafuu kwa watanzania kuingia kwenye uwekezaji na Serikali itaendelea kufanya maboresho ili wapate nafasi ya kuwekeza.

Amesema hayo leo Alhamisi (Juni 13, 2024) wakati akijibu swali la Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi katika kipindi cha maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu, Bungeni, Dodoma. Mbunge huyo alitaka kujua mikakati ya Serikali ya kuboresha sera ili zitoe upendeleo maalum kwa wazawa na waweze kushiriki kujenga uchumi endelevu.

“Si hilo tu, tunayo sera ambayo tumeitengenezea sheria ya ‘Local Content’ kwa miradi mikubwa ambayo inatekelezwa kama mradi wa kuzalisha Umeme wa Maji wa Bwawa la Mwalimu Nyerere, Reli ya SGR na miradi mingine ya kimkakati tumeweka kipengele kutengeneza fursa za watanzania kushiriki kwenye ujenzi”

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amesema kuwa Serikali inafanya upembuzi na tathimini ya kutambua wawekezaji ambao wameshindwa kuendeleza viwanda na mashamba waliyokabidhiwa na Serikali ili kuyarejesha na kuwapa wawekezaji wengine wenye uwezo ya kuyaendeleza.

“Tathimini inayofanywa na Wizara ya Kilimo itawezesha Serikali kuchukua maamuzi ya kuyarudisha maeneo haya ili kuyaendeleza au kumpatia mwekezaji mwingine anayehitaji kuwekeza”

Amesema hayo wakati akijibu swali la mbunge wa Korogwe Vijijini, Timotheo Mzava ambaye aliishauri Serikali ifanye tathimini ya kina kwa viwanda na mashamba ambayo yalibinafsishwa na hayaendelezwi mpaka sasa ili kuokoa uchumi wa nchi na kuwasaidia wananchi.

Wakati huohuo, Mheshimiwa Majaliwa ameitaka Wizara ya Kilimo ifuatilie maeneo ambayo bado hayajaanza kutumia mfumo wa minada katika kuuza mazao ya wakulima hasa kwenye mikoa na wilaya ambayo ina Vyama vya Ushirika. “Mfumo wa mnada unawezesha wakulima kupata bei nzuri ya mazao yao, na umeonesha mafanikio tangu tulipoanza kuutumia.”

Pia, Mheshimiwa Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa kufuatilia katika ngazi ya Wilaya ambako vyama vya ushirika vipo ili kujiridhisha iwapo mazao yanauzwa kwa njia ya mnada. “Kama hawauzi kwa njia ya mnada mjue ni kwa nini wakati mnada ndiyo inatoa fursa kwa wakulima kuuza kwa bei nzuri.”

Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate ambaye alitaka kujua kauli ya Serikali kwa maeneo ambayo hayajaanza kuuza mazao kwa njia ya mnada.

About the author

Alex Sonna