Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

smartbahis

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10 sorunsuz giriş

betpark

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

WANANCHI WA BUKOMBE WAPEWA SOMO KUHUSU ELIMU

Written by mzalendo

Na Mwandishi Wetu, Bukombe.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wazazi na walezi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu kwa kuwa ndio nguzo ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Amesema hayo Juni 7, 2024 wakati akihutubia mkutano wa wananchi katika Shule ya Msingi Bufanka iliyopo Kijiji cha Bufanka, Kata ya Bugelenga, Jimbo la Bukombe.

Serikali imeendelea kujenga shule ambapo kwa sasa Wilaya ya Bukombe ina shule za sekondari 7 na shule 5 za kidato cha tano na sita ambapo awali kulikuwa na shule moja.

“ Naona aibu kuona watoto wanazuiwa wasiende shule, niwaombe wazazi tupeleke watoto shule. Wenyeviti wa Vijiji niwaombe kama kuna mtoto kwenye kijiji chako ambaye anatakiwa kwenda shule na haendi, nenda kwenye kaya hiyo kuwaeleza kuhusu umuhimu wa elimu ili mtoto huyo aweze kwenda shule”, amesisitiza Dkt. Biteko.

Vilevile, Dkt. Biteko amechangia ukamilishaji wa ujenzi wa madarasa ya shule iliyopo katika Kata ya Bugelenga kwa kutoa mabati 135 na mifuko 400 ya saruji kwa ajili ya ukamilishaji wa miradi mbalimbali.

Katika hatua nyingine, Dkt. Doto Biteko amewata wananchi wa Kijiji cha Bufanka na Jimbo la Bukombe kwa ujumla kujiandaa kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu kwa kuchagua watu wenye sifa watakaosaidia kuleta maendeleo.

“Viongozi wa Chama chetu na Katibu Kata anzeni kwenda kwenye kata zetu kuwaambia mabalozi tukutane ili tujadiliane kuhusu uchaguzi, watu wengine wanashangaa Chama Cha Mapinduzi kinashindaje wajue tu ni kwa kuwa tunajipanga mapema kwa ajili ya kesho”, amesema Dkt. Biteko.

“ Tujue watu wangapi wanapiga kura na nani anataka kugombea lakini niwaambie tu tusikubali kutumia rushwa, tuvipinge vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi. Viongozi wa kata na shina andaeni viongozi vizuri wenye sifa za kuchaguliwa ambao watasaidia kuleta maendeleo tunataka wilaya yetu iwe mahali salama pa kuishi kwa kuchagua watu wenye maono au mawazo mazuri yatakayosaidia utatuzi wa changamoto sio kuchagua mtu ilimradi tu ana fedha”, amefafanua na kuongeza kuwa Serikali itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo.

“ Napenda kuwajulisha kuwa Mhe. Rais atafanya ziara mkoani Geita na hapa Bukombe miradi mingi itakuja haya mnayoyaona tu ni sehemu. Na mimi kama mbunge wenu nina kazi ya kuhakikisha maendeleo ya kweli yanakuja katika maeneo yetu.”

Naye, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Festo Dugange amesema kuwa Dkt. Biteko amesemea miradi mingi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi na Mhe. Rais Samia ametoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya na zahanati.

“ Hapo awali huduma zilikuwa mbali na gharama za kwenda kupata matibabu zilikuwa juu kakini Mhe. Dkt. Biteko aliona changamoto hiyo na alipomueleza Mhe. Rais Samia Wilaya hii ilipewa shilingi milioni 500 kwa ajili ya kutatua changamoto hiyo”, amesema Mhe. Dugange.

Ameongeza kuwa Jimbo hilo pia limepata zaidi ya shilingi milioni 900 kwa ajili ya sekta ya afya na Kata ya Bugelenga peke yake wamepata shilingi milioni 50 na maeneo mengine tayari wamepata fedha na zahanati zimejengwa. Pia, Mhe. Rais ameelekeza shilingi milioni 500 nyingine kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Bukombe ambapo itajengwa hospitali ya watoto njiti.

Akizungumzia daraja lililopo mpakani kati ya Bugelenga na Mbogo, Mhe. Dugange amesema “ Serikali tayari imetenga shilingi milioni 585 kwa ajili ya ujenzi wa daraja, na shilingi milioni 85 zimeshaletwa hapa, TARURA wataanza kutafuta mkandarasi na katika kipindi cha ndani ya mwezi mmoja na nusu ujenzi wa daraja hili utaanza na baadaye tutaanza ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 30.”

Kuhusu sekta ya elimu, amesema kuwa ndani ya kipindi cha miaka minne Jimbo hilo limepata zaidi ya shilingi bilioni 9 kwa ajili ya miradi ya ujenzi wa shule za msingi na sekondari. Aidha, amewapongeza wananchi kwa kuwa na mbunge hodari, mchapakazi na mwenye kujali na kutatua changamoto zao.

Naye, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Geita, Bw. Nicholaus Kasendamila amemshukuru Dkt. Biteko kwa kuendelea kuwasaidia wananchi wa Bukombe kwa kuhakikisha wanapata maendeleo kwa kuwa na miradi mbalimbali ikiwemo ya shule, hospitali na barabara.

Aidha, amewasihi wananchi wa Bukombe kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa “Huu ni mwaka wa uchaguzi tunatakiwa kujiandaa na viongozi wa CCM katika Mkoa huo tuhamasishe wapiga kura kushiriki katika uchaguzi na hatimaye kuchagua viongozi wazuri”.

Kwa upande wake, Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Geita, Mhe. Rose Busiga amesema kuwa Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Doto Biteko ameendelea kutatua changamoto zao mbalimbali ikiwemo ya mawasiliano na tayari fedha za kujenga minara 9 ya mawasiliano zimeshaletwa jimboni.

Aidha, pamoja na mkutano huo wa hadhara wananchi wamepata fursa ya kuchangia damu, kupima afya pamoja na kupata elimu ya masuala ya lishe.

About the author

mzalendo