Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casinowon

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark güncel giriş

porno izle

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

pashagamingg

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

jetbahis

jojobet

mercurecasino

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

İmajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

UNICEF YAIMWAGIA SIFA TANZANIA KWA UWAZI KATIKA MAANDALIZI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI

Written by mzalendo
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Elke Wisch, wakionesha moja ya chapisho la shirika hilo kuhusu Utafiti wa Utekelezaji wa Bajeti (Budget Survey), baada ya kikao chao kilichofanyika jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo na ushirikiano na pia shirika hilo limeipongeza namna Tanzania inavyofanya vizuri katika masuala ya bajeti.
 
 
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa  kikao chake na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Elke Witch, aliyeambatana na ujumbe kutoka Shirika hilo, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo na ushirikiano ambapo UNICEF, imeipongeza Tanzania kwa kufanya vizuri katika uwazi wa  masuala ya bajeti.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Elke Wisch, aliyeambatana na ujumbe kutoka shirika hilo, akizungumza jambo wakati wa kikao na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(hayupo pichani) katika ofisi za Treasury Square  jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo na ushirikiano ikiwemo pongezi za UNICEF kwa Tanzania kwa namna inayofanya vizuri katika uwazi wa masuala ya bajeti.
 
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ukiwa katika kikao na ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (UNICEF), ulioongozwa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika hilo nchini, Bi. Elke Wisch, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo na ushirikiano, ikiwemo namna Tanzania inavyofanya vizuri katika masuala ya bajeti.
 
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), akiagana na  Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Elke Wisch, aliyeambatana na ujumbe kutoka shirika hilo, baada ya kikao chao jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo na ushirikiano ikiwemo namna ambavyo Tanzania inavyofanya vizuri katika masuala ya bajeti.
 
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Elke Wisch (wa saba kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Shirika hilo na ujumbe kutoka Wizara ya Fedha, baada ya kikao chao jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo na ushirikiano ikiwemo namna ambavyo Tanzania inavyofanya vizuri katika masuala ya bajeti. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma).
Na Benny Mwaipaja, WF, Dodoma
 
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limeipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika masuala ya uwazi kwenye mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kutokana na matokeo ya utafiti wa uliofanywa na Shirika hilo.
 
Pongezi hizo zimetolewa jijini Dodoma na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF nchini Tanzania, Bi. Elke Wisch, alipokutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ambapo walijadiliana mambo mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na UNICEF.
 
Kutokana na utafiti walioufanywa na UNICEF, utakaozinduliwa hivi karibuni unaonesha kuwa katika kipindi cha miezi 16 iliyopita ambacho utafiti huo umefanyika, Tanzania imepanda viwango vya uwazi katika masuala ya bajeti kutoka asilimia 21 hadi 41 na kuzizidi nchi zote za Bara la Afrika.
 
Alisema kuwa katika kipindi cha Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tanzania imepiga hatua kubwa katika suala la uwazi na uwajibikaji kutokana na bajeti yake kuwa na uhalisia na kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara, wawekezaji, wadau wa maendeleo na taasisi za fedha.
 
Bi. Wisch alisema kuwa hatua hiyo inafaa kupongezwa na wadau wote wa maendeleo na kwamba matarajio ya Shirika hilo ni kuona kiwango hicho kinaongezeka zaidi ili angalau kifikie zaidi ya asilimia 50, jambo ambalo alisema kutokana na uongozi thabiti wa Serikali ya Awamu ya Sita, viwango hivyo vitafikiwa hivi karibuni.
 
Bi. Wisch ameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika masuala mbalimbali ya maendeleo hususani masuala ya elimu, lishe, Watoto na vijana.
 
Aidha, Bi. Wisch alieleza kuwa Tanzania ina programu za chakula mashuleni jambo ambalo linawasaidia wanafunzi kuwa na mazingira mazuri ya kupata elimu, lakini pia msisitizo wa lishe bora kwa Watoto ni jambo muhimu ili kupambana na udumavu wa akili na kuwajengea watoto ubongo unaomuwezesha mtoto kuwa na akili nzuri.
 
Alisema pia kuwa Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika masuala mbalimbali ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika jambo ambalo linachochea ushirikiano zaidi na mashirika ya maendeleo katika kusaidia kuchochea zaidi maendeleo ya wananchi wake katika sekta mbalimbali.
 
Kwa upande wake Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema kuwa katika Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2023/24 UNICEF, iliahidi kutoa msaada wa zaidi ya dola milioni 20.3 kwa ajili utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya uchumi wa kijamii kwenye  eneo la afya, lishe, elimu, kuwalinda Watoto, sera ya jamii, jinsia na mipango.
 
Dkt. Nchemba ameipongeza UNICEF kwa kuendelea kushirikiana na Tanzania katika nyanja mbalimbali zinazokuza ustawi wa jamii kupitia michango yao katika Bajeti Kuu ya Serikali zinazoelekezwa kuhudumia jamii ikiwemo afya na elimu.
 
Aidha Dkt. Nchemba amelishukuru Shirika hilo kwa msaada wake katika masuala ya uwazi, uwajibikaji na kusaidia ushiriki wa umma katika hatua mbalimbali za maandalizi ya bajeti kupitia utafiti wao wa uwazi wa masuala ya bajeti.
 
Alisema kuwa Tafiti hizo zimesaidia kuboresha bajeti jambo lililosaidia kujenga imani ya wananchi kwa Serikali yao na matumizi bora ya rasilimali.
 
Amesema kuwa anatumaini  UNICEF itaendelea kuisaidia Serikali katika masuala ya kibajeti na Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano ulioanzia mwaka 2021/22 hadi 2025/26.

About the author

mzalendo