Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

sahabet

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

royalbet

Featured Kitaifa

WAJASIRIAMALI WADOGO WAPATA ELIMU YA FEDHA SUMBAWANGA

Written by mzalendo

Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendeshaji wa Sekta ya Fedha- Wizara ya Fedha, Bw. Salim Kimaro,akitoa elimu ya fedha kwa Wajasiriamali wadogo wadogo (hawamo pichani) katika Ukumbi wa Manispaa ya Wilaya ya Sumbawanga mjini mkoani Rukwa.

Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendeshaji wa Sekta ya Fedha- Wizara ya Fedha, Bw. Salim Kimaro, (wa kwanza kulia) akielezea malengo ya utoaji elimu ya fedha kwa wajasiriamali wadogo mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Manispaa ya Sumbawanga ambapo timu ilipokelewa na Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Uratibu aliyekaa meza kuu Bw. Donatus Wegina

Baadhi ya Wajasiriamali wadogo wakisikiliza elimu ya fedha inayotolewa na mtaalamu wa Wizara ya fedha kutoka Idara ya Uendeshaji wa Sekta ya Fedha Bw, Salim Kimaro.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Fedha)

Na. Eva Ngowi,  Rukwa

Serikali kupitia Wizara ya Fedha itaendelea kuwashauri wananchi kwa ujumla kushiriki kwa wingi katika semina zinazoendelea kutolewa kuhusiana na elimu ya fedha ili kuepukana na mikopo umiza ama mikopo kausha damu.

Hayo yamesemwa na Bw. Salim Kimaro, Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendeshaji wa Sekta ya Fedha- Wizara ya Fedha, wakati wa Semina na Wajasiriamali wadogo iliyofanyika katika kumbi za Manispaa Wilaya ya Sumbawanga Mjini Mkoani Rukwa kwa kuwahimiza wananchi wote popote pale walipo waendelee kutufuatilia na kuhudhuria katika maeneo ambayo yatafanyika semina hizo ili waweze kujipatia elimu ya fedha kwa mustakabali wa uchumi wao na Taifa kwa ujumla.

Bw. Kimaro alisema malengo ya elimu ya fedha kwa wananchi ni kuwajengea uwezo wa kufanya maamuzi sahihi ya kupata na kutumia huduma za fedha hapa nchini. 

Alisema kuwa huduma hizo ni suala ambalo linapaswa kufahamika katika matumizi yake na upatikanaji wake ili kuwaepusha wananchi na changamoto mbalimbali zinazotokana na kutoelewa masuala mbalimbali ya elimu ya fedha na kujiepusha na mikopo kausha damu.

“Tumekuja Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga Mjini kwa ajili ya uendelevu wa zoezi letu la kutoa elimu ya fedha kwa umma, zoezi ambalo litafanyika katika mikoa nane katika awamu hii na mikoa mingine yote itafuata hadi wananchi wote watakapofikiwa. “Alisema Bw. Kimaro

Akizungumza wakati wa semina hiyo alisema Changamoto nyingi zinatokana na uelewa mdogo wa elimu ya fedha na hasa katika masuala ya mikopo ambapo alisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kufahamu kuwa kabla ya kukopa ni muhimu kuwa na malengo ya kukopa, kufahamu vyema watoa huduma watakao kwenda kukopa kama wamesajiliwa kwa mujibu wa sheria na kanuni lakini pia, ni muhimu kusoma na kuelewa mikataba ya watoa huduma ili wasije ingia katika matatizo ya mikopo kausha damu.

Bw. Kimaro aliongeza kuwa matarajio ya kutoa elimu hiyo ni kuwapata wananchi wenye weledi katika masuala ya fedha na hivyo kuepuka kujiingiza katika biashara zisizo halali katika masuala ya fedha lakini kubwa zaidi ni kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba, kuwekeza katika maeneo yenye tija na kukopa mahali palipo salama lakini pia kupanga mipango sahihi ya maisha baada ya kustaafu.

Awali akizungumza katika semina hiyo Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Sumbawanga Mjini, Bi. Tabu Rajab Hessein, aliwashukuru Watumishi wa Wizara ya Fedha, Watumishi wa Manispaa ya Sumbawanga pamoja na washiriki yaani wajasiriamali wadogowadogo kwa ujumla wao na kusema kuwa elimu waliyoipata watakwenda kuifanyia kazi.

“Mimi binafsi nimejifunza kwa sababu mengi yaliyokuwa yanaoneshwa kwenye video, wanawake wengi yanatugusa kwa namna moja ama nyingine. Wanawake tulio wengi tuko kwenye vikoba lakini hatujui vikoba vile utaratibu wa kisheria ukoje” alisema Bi. Tabu.

Aliongeza kuwa malengo ya elimu hiyo ni kuwawezersha wakinamama pamoja na akina baba kwenda kwenye Taasisi za kifedha au kwenye vikoba ambavyo vimesajiliwa na vinatambulika kisheria ili hata kukitokea shida ni rahisi mtu kufuatilia haki yake na akaipata” Alisema Bi. Tabu Hussein.

Akizungumzia umuhimu wa Semina hiyo Bi. Janerosa Schilian, kutoka Kata ya Chanji ambaye ni mfanyabiashara mdogo alisema amejifunza vitu vingi ikiwemo nidhamu ya pesa.

“Nimejifunza katika biashara zangu inawezekana ningekuwa mbali sana, kwa sababu ya utovu wa nidhamu ya pesa, ndio maana yamkini maisha yangu yako chini, lakini nimejifunza kwamba ninapukuwa nikipata pesa natakiwa nizipangie bajeti mimi na familia yangu nisiingize mambo mengine ambayo yalikuwa hayajapangiwa bajeti” Alisisitiza Bi. Schilian.

Elimu ya Fedha ni program inayotolewa kwa kuzingatia Mwongozo wa Mkakati wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha ambao ni wa miaka kumi. Mwongozo huo ambao pamoja na mambo mengine ni lazima wananchi wapate elimu ya fedha katika makundi mbalimbali kama vile Vyama vya Ushirika, Wanafunzi, Waalimu, Wafanyakazi, Vikundi vya huduma ndogo za fedha na Wananchi kwa ujumla.

About the author

mzalendo