Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI 2024 KITAIFA KUFANYIKA TABORA KUANZIA JUNI 29.

Written by mzalendo
MRAJIS  na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, (TCDC) , Dkt. Benson Ndiege,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 4,2024 jijini Dodoma kuhusu kuelekea  maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD 2024) yanatarajia kufanyika  kitaifa mkoani Tabora kuanzia Juni 29,2024 na kufikia kilele chake  Julai 6, 2024 katika viwanja vya Nanenane – Ipuli.
Na.Alex Sonna-DODOMAA
MAADHIMISHO ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD 2024) yanatarajia kufanyika  kitaifa mkoani Tabora kuanzia Juni 29,2024 na kufikia kilele chake  Julai 6, 2024 katika viwanja vya Nanenane – Ipuli.
Hayo yamesemwa leo Juni 4, 2024 jijini Dodoma na Mrajisi na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, (TCDC) , Dkt. Benson Ndiege, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu  maadhimisho hayo ambapo amesema kuwa shughuli mbalimbali zitafanyika kwenye maonesho hayo.
Dkt.Ndiyege amesema kuwa lengo la maadhimisho hayo ni kuwakutanisha wadau wa ushirika wakiwemo viongozi wa ushirika, vyama vya ushirika, wadau wa ushirika na viongozi wa Serikali wanaosimamia sekta ya ushirika.
“Pia kutangaza kazi za wanaushirika, kuhabarisha umma juu ya falsafa na manufaa ya ushirika na kutoa fursa ya kujadili changamoto za kiuchumi na kijamii zilizopo na kuzitafutia ufumbuzi,” amesema Dkt. Ndiege. 
Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu ni “Ushirika Hujenga Kesho iliyo Bora kwa Wote”.
Aidha, amesema maadhimisho hayo yataambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo makongamano, Uchangiaji Damu, Upimaji wa Afya, Kutembelea Kituo cha Watoto Yatima na kutembelea Kambi ya Wazee.
Pia kutakuwepo na burudani mbalimbali za ngoma, Mpira wa Miguu na Pete, Riadha, Mbio za Magunia na burudani nyingine.
“Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani hutoa fursa kwa wajasiriamali na wafanyabiashara kutoa huduma kwa washiriki na kupelekea kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja, uchumi wa Mkoa husika na Taifa kwa ujumla.
“Maadhimisho hutoa fursa kwa wadau wa Maendeleo ya Ushirika kujifunza kuhusu fursa za uwekezaji na ufanyaji biashara kupitia bidhaa na mazao yanayozalishwa kwenye Vyama vya Ushirika,” amesema Dkt. Ndiege
Amesema kuwa maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani husaidia kuwaunganisha wanaushirika na wabia wa maendeleo toka ndani na nje ya nchi na kuviunganisha vyama vya ushirika ili kuimarisha mahusiano katika kusaidiana masuala ya kiuchumi na kijamii.
“Katika kufanikisha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani kwa mwaka huu, tunatoa wito kwa wanaushirika na wabia wa maendeleo toka ndani na nje ya nchi kushiriki kikamilifu kuonesha bidhaa na huduma zinazotolewa katika vyama vya ushirika na wadau wake”amesema
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Madhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD 2024), Meja Michael Moyo, amesema kuwa ushirika umekuwa na tija kubwa nchini licha kuwepo kwa mitizamo hasi kwa baadhi ya watu.
“Maandalizi kwa ujumla yameshakamilika hivyo tunawaomba wanaushirika kujitokeza kwa wingi kuja kushirikia na kupata elimu mbalimbali katika masuala ya yanayohusu ushirika nchini, ”amesema Meja Moyo
MRAJIS  na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, (TCDC) , Dkt. Benson Ndiege,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 4,2024 jijini Dodoma kuhusu kuelekea  maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD 2024) yanatarajia kufanyika  kitaifa mkoani Tabora kuanzia Juni 29,2024 na kufikia kilele chake  Julai 6, 2024 katika viwanja vya Nanenane – Ipuli.
MRAJIS  na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, (TCDC) , Dkt. Benson Ndiege,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 4,2024 jijini Dodoma kuhusu kuelekea  maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD 2024) yanatarajia kufanyika  kitaifa mkoani Tabora kuanzia Juni 29,2024 na kufikia kilele chake  Julai 6, 2024 katika viwanja vya Nanenane – Ipuli.
Mwenyekiti wa Kamati ya Madhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD 2024), Meja Michael Moyo,akielezea   maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD 2024) yanatarajia kufanyika  kitaifa mkoani Tabora kuanzia Juni 29,2024 na kufikia kilele chake  Julai 6, 2024 katika viwanja vya Nanenane – Ipuli.

About the author

mzalendo