Featured Kitaifa

DKT.NCHIMBI AZINDUA SHINA LA WAKEREKWETWA WAJASIRIAMALI MONDULI

Written by mzalendo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizindua Shina la Wakereketwa Wajasiriamali, Tarime Group lenye wanachama 200, ambalo lipo eneo la Makuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha.

Dkt Nchimbi amewasili Arusha, tayari kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake kwenye mikoa mitano, ya Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga, akiwa amembatana na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla pamoja na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndugu Rabia Hamid Abdallah.

About the author

mzalendo