Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendo

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, bungeni jijini Dodoma, Mei 27, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki anyeshughulikia Afrika ya Mashariki ambaye pia ni Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato , bungeni jijini Dodoma, Mei 27, 2024.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo