Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

JIUNGE NA JKT UKIOMBWA FEDHA TOA TAARIFA KWA MAMLAKA HUSIKA-MEJA JENERALI MABELE

Written by mzalendo

Mkuu  wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,akizungumza na  waandishi wa habari katika Kikosi cha Jeshi 822 KJ Rwamkoma wilayani Butiama Mkoani Mara.

Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Operesheni JKT Kanali Aisha Matanza,akizungumza na  waandishi wa habari katika Kikosi cha Jeshi 822 KJ Rwamkoma wilayani Butiama Mkoani Mara.

Kamanda wa Kikosi cha 822 KJ  Rwamkoma,Luteni Kanali Gaudencia Mapunda,akiwahimiza wazazi kuwaleta watoto wao kujiunga na mafunzo ya JKT.

Na Alex Sonna-BUTIAMA
JESHI la Kujenga Taifa ( JKT) limesema hakuna mateso katika mafunzo ambayo limekuwa likiyatoa kwani kijana anaandaliwa kuwa mtiifu,mwaminifu na anaependa kazi huku likisisitiza hakuna fedha yoyote inayohitajika ili mtoto aweze kujiunga na Jeshi hilo.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Kikosi cha Jeshi 822 KJ Rwamkoma wilayani Butiama Mkoani Mara.
Meja Jenerali Mabele amesema vijana wanaojiunga  na  JKT wapo salama na wanawalea  vizuri kwa mujibu wa maadili ya kitanzania.
Amesema hakuna manyanyaso yoyote kwani kila wanachofanya kipo kwa mujibu wa mafunzo na hawapo kwa ajili ya kuwatesa vijana.
Amesema kijana anayetoka JKT atakuwa na sifa tatu ambazo ni mwaminifu,mtiifu na anaependa kazi.
“Hakuna mateso ni mambo mazuri kabisa ambayo kijana akiyafuatilia tunapata kijana mzuri ambaye atalisaidia  Taifa lake,”amesema Meja Jenerali Mabele
Amesema mafunzo hayo ni gharama hivyo mzazi anaweza kumchangia kijana wake lakini watakuwa wameonesha katika tovuti ya Jeshi hilo kipi anatakiwa kuchangia.
“Hakuna pesa yoyote itakayokuwa ikihitajika pesa atakayokuja nayo ni ya matumizi ya kwake yeye mwenyewe kama mzazi atampa ni ya kuja kutumia yeye  akiwa ndani ya JKT kwa matumizi yake lakini akiwa ndani kuna posho kidogo huwa tunatoa kwa ajili ya sabuni na vitu vingine,”amesema Meja Jenerali Mabele
Kutokana na hali hiyo limewataka wazazi ama walezi wakiombwa fedha kutoa taarifa katika Mamlaka husika.
Pia Jeshi hilo,limesema wakati wowote kuanzia sasa litatangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita hivi karibuni hivyo kuwaomba waliomaliza kuchangamkia fursa hiyo hasa wanawake.
Aidha  amesema kuna mafunzo ya aina mbili ya kujitolea ambayo ni  miaka miwili na vijana kwa mujibu wa sheria wanaofanya kwa miezi mitatu.
 Meja Jenerali Mabele amesema JKT tayari wamejitayarisha kuwahudumia wanafunzi wa kidato cha sita wanaotarajia kumaliza mtihani hivi karibuni na kutakiwa kujiunga kwa mujibu wa sheria.
“Kwahiyo wakati wowote kuanzia sasa tutatangaza kwamba waje kujiunga na Jeshi.Naomba niwatoe wasiwasi kumekuwepo na mambo mengi watu wakiwatisha kwenye mitandao niwahakikishie mafunzo haya ni salama kwa watoto wote wa jinsi ya kiume na kike,”amesisitiza Meja Jenerali Mabele
Amesema hivi karibuni watatangaza na  wataonesha vitu ambavyo vijana wanatakiwa kwenda navyo.
Amesema pia kwenye mafunzo ya kujitolea watu wamekuwa wakidanganyika kwa kutoa fedha ili mtoto wake aweze  kusaidiwa amedai hakuna fedha bali mhusika akipita katika michakato na ukakubalika hakuna pa kutoa fedha hivyo atakaombwa atoe   taarifa kwa Mamlaka husika.
Kwa upande wake,Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Operesheni JKT Kanali Aisha Matanza,amesema kuwa  mafunzo yote  yanayotolewa na JKT amesema kwa upande wa mafunzo ya vijana silabi na miongozo yote  imetengenezwa kwa kufuata maelekezo ya Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Mabele.
Kanali Matanza amesema jukumu lake ni kuhakikisha yale yote silabi na masomo yanatakiwa kutekelezwa kwa  vijana kwa mujibu wa sheria yanatekelezwa.
Amesema ofisi yake ndio inaratibu na kusimamia kwa kufuata maelekezo kupitia mafunzo hayo wanaowafundisha huwa wanapata semina elekezi yapi wafanye na yapi hawatakiwi kufanya.
“Kwa maana hiyo hatutegemei kwamba haya mafunzo wakufunzu wataenda kinyume.Niwatoe hofu vijana hususani Wanawake JKT ni salama anachofundishwa mwanaume ndicho anachofundishwa mwanamke hakuna vitisho manyanyaso mazoezi yameratibiwa,”amesema Kanali Matanza.
Naye, Kamanda wa Kikosi cha 822 KJ  Rwamkoma,Luteni Kanali Gaudencia Mapunda amewahimiza wazazi na walezi kutumia fursa ya mafunzo ya JKT kwani yana faida kubwa
Amezitaja  faida hizo  ni uzalendo,ujasiri na kupenda  kazi kwani kila mmoja ni shuhuda kijana anaemaliza mafunzo huwa amekamilika.
“Nitumie nafasi hii kuwaasa wazazi na walezi waleteni  wahudhurie mafunzo hasa wale wa kike mimi mwenyewe ni Kamanda wa kikosi na nilianza huko,”amesema Luteni Kanali Mapunda.

About the author

mzalendo