Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

ramadabet

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

JKT MKOMBOZI WA WANANCHI MBEGU ZA KISASA ZA MCHIKICHI MKOANI KIGOMA

Written by mzalendo
Mwenyekiti  wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akizungumza   wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa kilimo cha mchikichi katika  Kikosi cha 821 KJ Bulombora mkoani Kigoma.
Na.Alex Sonna-KIGOMA
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) katika Kikosi cha 821 Bulombora kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo(TARI-Kigoma) wamezalisha miche takribani 300,000 imezalishwa na kuigawa bure kwa wakulima wakubwa, wa kati na mmoja mmoja na kupitia vyama vya ushirika kwa halmashauri zote za Mkoa wa Kigoma.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti  wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa kilimo cha mchikichi katika  Kikosi cha 821 KJ Bulombora mkoani Kigoma.
Amesema baada ya maagizo kutoka Serikalini walishirikiana na taasisi ya tari katika kuandaa vitalu ambavyo viliwasaidia kuandaa miche iliyokwenda kutumika katika kwa wakulima mbalimbali.
“Zoezi hili limekwenda vyema na miche zaidi ya 300,000 imegawiwa kwa wakulima bure na maofisa ugani katika kata walisimamia kuhakikisha kuwa inapandwa kitaalamu kwenye mashamba ya wakulima,”amesema Brigedia Jenerali Mabena
Brigedia Jenerali Mabena ambaye Mkuu wa Tawi la Utawala la JKT,  amesema wamejiwekea malengo ya kuhakikisha kuwa wanafikia ekari 2000 hadi kufikia mwaka 2024/25 na kwamba hadi sasa wameandaa na kupanda ekari 1100.
“Wenzetu wa TARI (Taasisi ya Utafiti wa Kilimo)  Mkoa wa  Kigoma wapo hapa kuhakikisha kuwa wanashirikiana na kikosi kuhakikisha kuwa miche hii inakua na kama kuna changamoto zozote zile basi tuweze kuchukua hatua ili kufikia malengo tuliojipangia,”amesema.
Akizungumza kuhusu unufaika wa vijana wakujitolea na wale wa kwa mujibu wa sheria , Brigedia Jenerali Mabena amesema vijana wanaolelewa na JKT, mbali ya kufundishwa mafunzo ya uzalendo, ukakamavu wanafundishwa shughuli za kilimo, stadi za maisha pamoja na ujasiriamali.
Amesema katika mafunzo ya kilimo, vijana hao wamehusika katika hatua zote za kilimo cha chikichi ikiwemo  kuandaa miche hadi kupanda.
Akielezea kuongeza thamani kwa mazao yanayozalishwa, Brigedia Jenerali Mabena amesema kupitia shamba darasa na mashine ndogo zilizopo katika kikosi hicho, vijana hao wameelekezwa namna ya kuchakata mafuta ya kula.
Amesema pia wameongezewa maarifa na kufundishwa jinsi ya  kuongeza thamani mbegu pia zinazobakia kwa kutengeneza sabuni ambazo hutumika katika shughuli mbalimbali za usafi.
Aidha,  Brigedia Jenerali Mabena amesema mpango wa kuongeza thamani kwa mazao yanayozalishwa kwenye vikosi na baadhi yake vimeshafungua viwanda vidogo vya kuchakata mafuta ya alizeti kwa ajili ya matumizi ya vikosi na majirani wanaowazunguka.
“Lakini pia mashudu kwa maana ya mabaki yanayotokana na alizeti yamekuwa yakichanganywa na virutubisho vingine kwa ajili ya kupata chakula cha mifugo. Sote tunafahamu mbali na kilimo Jeshi la Kujenga Taifa linajishughulisha na ufugaji wa ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku,”amesema.
Amesema tathimini imeshafanyika na maeneo yameshafanyiwa tathimini ( survey) kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vikubwa vya kuongeza thamani na kuwa wakipata fedha watakwenda kujenga.
Ametoa mfano wa maeneo waliyokwenda kuyatazama kuwa ni Kikosi cha JKT Chita,mkoani Morogoro ambapo wanalima mpunga kwa kutumia teknolojia ya kisasa na kuwa wakiweza kulima ekari zote 12,000, watahitaji kuwa na viwanda.
“Eneo lile limeshatengwa pale na tiyari hata ule mchakato wa kufuatilia katika baadhi ya nchi kuona kuwa kiwanda amcaho wakiweza umeshafanyika na pia hata katika vikosi ambavyo vinalima mazao mbalimbali kuweza kuongeza thamani. Kwa mfano hapa kwenye mchikichi kuweza kuwa na kiwanda kikubwa kitakacvhoweza kuchakata mafuta na mabaki kwenda kutumika kuzalisha,”amesema.
Kuhusu gharama, amesema zinatofautiana kati ya kiwanda na kiwanda ambapo kiwanda wanachotarajia kukijenga Chita mkoani Morogoro kinatarajiwa kugharimu Sh3 bilioni.
Amesema kiwanda hicho kitakuwa na sehemu ya kutengeneza chakula cha kuku.
Kwa upande wake Kamanda Kikosi cha 821 KJ Bulombora, Luteni Kanali Juma Hongo,amesema wamekuwa wakipokea maombi ya miche ya michikichi kutoka maeneo mbalimbali na hadi kufikia jana walikuwa wamegawa miche zaidi 300,000.
“Kama SUA (Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine), kimechukua miche na wametueleza maendeleo ni mazuri sana lakini kuna mabalozi ambao wako nje ya nchi wametuletea mrejesho mambo ni mazuri, kumekuwa na mahitaji makubwa. Hii inaonyesha kuwa JKT imetekeleza vyema maagizo ya Serikali,”amesema.
Mwenyekiti  wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akizungumza   wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa kilimo cha mchikichi katika  Kikosi cha 821 KJ Bulombora mkoani Kigoma.
Kamanda Kikosi cha 821 KJ Bulombora, Luteni Kanali Juma Hongo,akielezea jinsi walivyojipanga kuzalisha miche ya michikichi kwa ajili ya kuwagawia wananchi miche hiyo.
Mwenyekiti  wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikagua mradi  wa kilimo cha mchikichi katika  Kikosi cha 821 KJ Bulombora mkoani Kigoma mara baada ya kufanya ziara yake ya kukagua mradi huo.
Muonekano wa  mbegu za kisasa za mchikichi zinazozalishwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika Kikosi cha 821 Bulombora mkoani Kigoma.

About the author

mzalendo