slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu 888

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

bets10 giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

jojobet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

Casibom

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

DC KIGOMA ATOA ANGALIZO VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO JKT

Written by mzalendo
MKUU  wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli,akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kufunga  mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,hafla iliyofanyika Mkoani Kigoma.
Na.Alex Sonna-KIGOMA
MKUU  wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli amewataka vijana waliopata mafunzo ya awali Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)  kujiepusha na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yaliyo kinyume na mila na utamaduni wa Watanzania.
Mhe.Kalli ameyasema hayo Mkoani Kigoma wakati akifunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora.

Mhe.Kalli,amewaonya juu ya matumizi ya mitandao ya jamii yanayotokana na ukuaji wa teknolojia ambayo yamemfanya kila Mtanzania kutamani kutumia simu janja ambazo zimekuwa na mambo mengi kiasi cha mtu kufahamu kila kinachofanyika duniani kupitia mitandao ya kijamii.

“Vijana wengi wamekuwa hawana elimu ya kutosha juu ya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii, hivyo basi hutazama mambo ambayo ni kinyume kabisa na tamaduni zetu za kiafrika. Ninawaomba sana msiingie huko kwenye mitego isiyo yenu, hakikisheni mnalilinda Taifa lenu,”amesema Mhe.Kalli

Aidha amewataka kuhakikisha wanalinda Taifa, wanasimamia miongozo, uadilifu na maelekezo ya kila siku ili nchi iendelee kuwa salama.

Pia amesema kuwa Serikali ilitunga Sheria ya Kudhibiti Maudhui Mtandaoni ambapo watakapopatikana na maudhui ambayo ni kinyume na mila na utamaduni, hatua kali za sheria zitacjhukuliwa dhidi yao.

“Natumia fursa hii kuwaasa kuwa hatutakuwa na wasaa mwingine tutakapokuta wewe umeingia kwenye makundi yasiyofaa ambayo siyo yale uliofundishwa hapa (jeshini) ukaingia katika mitandao ya hatakuwa na saa nyingine ya kutoa wasia wakati watakapofanya mambo ya hovyo, bali watawachukulia hatua za kisheria mara moja,”amesema.

Aidha,  amewataka kusimamia nchi yao kuwa wazalendo, waadilifu na kutokubali nchi yao ikalindwa na watu wengine na badala yake kulinda wenyewe kwa utii waliofundishwa lakini wakisimamia kiapo chao na miongozo na maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu Dk Samia Suluhu Hassan.

Mhe.Kalli ameipongeza Serikali chini ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwezesha ufanyikaji wa mafunzo hayo ambayo ni muhimu kwa ustawi wa Vijana wetu na Taifa kwa ujumla.

“Nipende kulishukuru Jeshi la Kujenga Taifa na Watendaji wote chini ya uongozi Shupavu wa Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele kwa kusimamia kwa weledi mkubwa malezi ya vijana wetu na hatimaye kufikia viwango bora.”

Kwa upande wake  Mwakilishi wa Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema  mafunzo hayo ni mwendelezo wa utekelezaji mawazo ya muasisi wa Taifa, Baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uanzishwaji wa JKT.
”Naamini kuwa mafunzo haya mliyoyapata mmekuwa tayari kulitumikia na kulilinda taifa letu popote mtakapokuwa kwani mmefahamu dhana ya uzalendo, umoja, mshikamano, ukakamavu na kujiami, mnapaswa kutumia elimu hii katika kutatua changamoto mbalimbali pasipo kuvunja sheria na taratibu za nchi. Hivyo nendeni mkaishi kiapo chenu.”amesema Brigedia Jenerali Mabena
Aidha Brigedia Jenerali Mabena  amewataka vijana hao kutunza afya zao kwani ndio msingi na mtaji wao mkubwa na kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa amani, ulevi, utumiaji wa dawa za kulevya, ulaji wa vyakula au utumiaji wa vinywaji vyenye kuhatarisha afya zao.
Awali, Kamanda Kikosi cha 821 KJ Bulombora, Luteni Kanali Juma Hongo, amesema  mafunzo ya vijana wa kijitolea Operesheni miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa yalianza Desemba 2023 na kufanyika kwa majuma 16 mfululizo ambapo vijana wamejifunza mambo mbalimbali ikiwemo mbinu za kivita, ujanja wa porini, usomaji wa ramani, usalama na utambuzi kukabliana na majanga na matumizi ya silaha ndogondogo, kazi za mikono na uzalishaji mali kwa vitendo.
”Lengo likiwa ni kukuza moyo wakizalendo, kuwajengea ukakamavu, ujasiri, uwezo wa kutumia muda vizuri kwa kufanyakazi na pia wajitambue kuwa wao ni sehemu ya jamii ya watanzania wanaopaswa kupata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa.”amesema Luteni Kanali Hongo 

MKUU  wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli,akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kufunga  mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,hafla iliyofanyika Mkoani Kigoma.

Gwaride la Heshima la Vijana wa kujitolea likipita mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli (hayupo pichani) kabla ya kufunga  mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,hafla iliyofanyika Mkoani Kigoma.

MKUU  wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli,akizungumza wakati akifunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,hafla iliyofanyika Mkoani Kigoma.

Kamanda Brigedi 202,Brigedia Jenerali Gabriel Kwiligwa,akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,Mkoani Kigoma.

Mwakilishi wa Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,Mkoani Kigoma.

Kamanda Kikosi cha 821 KJ Bulombora, Luteni Kanali Juma Hongo,akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,Mkoani Kigoma.

Baadhi ya Wananchi wakifatilia matukio mbalimbali wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,Mkoani Kigoma.

Vijana wa JKT wakionyesho ufundi wao kwa mgeni rasmi Mkuu  wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli,(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 821, Bulombora,Mkoani Kigoma.

About the author

mzalendo