marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

bets10

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

imajbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

sonbahis

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

bahiscasino

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

ngsbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

onwin

romabet

betsilin

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

marsbahis

matbet

jojobet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

BRIGEDIA JENERALI MABENA AZINDUA BOTI YA JKT MV BULOMBORA MKOANI KIGOMA

Written by mzalendo

MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  boti ya MV Bulombora iliyofanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini.

Na Alex Sonna-KIGOMA

MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena amezindua boti ya MV Bulombora na kuwa itakua chachu ya ukuaji wa shughuli za kiuchumi kwa jeshi na taifa kwa ujumla.

Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini, Brigedia Jenerali Mabena amesema hatua ya kulifanyia matengenezo makubwa bodi hilo ni katika kutekeleza mpango wa JKT wa kuongeza uzalishaji katika kilimo, mifugo na uvuvi.

 “Kupitia mpango mkakati wa kujitosheleza kwa chakula kwa JKT umesukuma kufanyia matengenezo boti hii na hata baada ya Mkuu wa JKT kuridhia mradi huo baada ya kuona utakuwa na manufaa kwa jeshi na nchi kwa ujumla,” amesema.

 Amesema mbali na boti hilo kutumika katika shughuli za uvuvi, lakini pia kitatumia katika kuimalisha ulinzi katika Ziwa Tanganyika, kupambana na uvuvi haramu na uhalifu wa aina zote.

 “Kikosi cha 821 Kikosi cha Jeshi Bulombora mkao wake kiko pembezoni mwa Ziwa Tanganyika na kwenye ziwa kuna fursa nyingi za usafirishaji, shughuli za uvuvi kutokana na kuwapo kwa aina mbalimbali za samaki.”

 Amesema boti hiyo inauwezo wa kubeba abiria kati ya watu 30 mpaka 60 na uwezo wa kubeba mzigo kati ya tani 60 mpaka 80 kwa wakati mmoja.

 “Unaona kwa jinsi ambavyo inaenda kupunguza tatizo la usafiri na mwisho wa siku itakapokuwa kwenye operation itatoa ajira kwa wana Kigoma,”amesema Brigedia Jenerali Mabena.

 Amesema boti hiyo imefanyakazi vizuri tangu mwaka 1984 ambapo ilipofika 2004 ikawa imechakaa ila kwa sasa ipo katika muonekano mpya na kwenye ubora.

 “Kwa kweli ilikuwa inakatisha tamaa lakini, kwa sasa ipo katika muonekano mzuri niwapongeze makamanda wote wa vikosi,” amesema Brigedia Jenerali Mabena.

 Brigedia Jenerali Mabena amiwataka viongozi wa kikosi hicho kuhakikisha wanakitunza chombo hicho ili kidumu kwa muda mrefu.

 “Naweka msisitizo, zingatieni kufanya service (matengenezo), muda wa matengenezo ukifika fanyeni, kama ni kumwaga oil basi ni vyema ikamwagwa kwa wakati unaotakiwa kama kuna namna ya kubadilisha kitu chochote tubadilishe kwa wakati kwa kufanya hivyo chombo hicho kitadumu na kitafikisha miaka 50,”amesema Brigedia Jenerali Mabena.

 “Sisi tutafanya kama timu na walichokifanya hawa makamanda ni yale ambayo tumewafundisha vijana wetu tunaishi kama timu,”amesema Brigedia Jenerali Mabena.

Aidha, Brigedia Jenerali Mabena amesema sehemu ya mapato yatakayopatikana kutokana na shughuli za boti hilo itaenda kuchangia maduhuli ya serikali.

 Hata hivyo ametoa rai kwa wadau wengine wanaohusika na masuala ya majini waendelee kutoa ushirikiano kwa kikosi cha 821 KJ Bulombora ili waweze kufikia malengo.

 Kwa upande wake, Mkuu wa kikosi cha 821 KJ Bulombora Luteni Kanali Juma Hongo  ameushukuru uongozi wa JKT kwa kulifanyia kazi wazo hilo.

 “Tunawashukuru wadau wote waliohusika na kutupa ushauri kwani boti hii inamanufaa makubwa,”amesema Luteni Kanali Hongo.

 “Katika matengenezo hayo kuna vitu vingi vimebadilishwa ikiwemo inji ya kisasa yenye uwezo mkubwa kwa gharama ndogo hata mabenchi yamekaa vizuri na majaketi yale ya kisasa yapo,”amesema.

MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akisalimiana mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi wa  boti ya MV Bulombora iliyofanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini.

MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akizungumza mara baada ya kuzindua  boti ya MV Bulombora iliyofanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini.

Mkuu wa kikosi cha 821 KJ Bulombora Luteni Kanali Juma Hongo,akitoa taarifa kuhusu   boti ya MV Bulombora iliyofanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini.

 

MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  boti ya MV Bulombora iliyofanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini.

MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiwa kwenye  boti ya MV Bulombora  mara baada ya kuizindua  hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini.

MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua  boti ya MV Bulombora iliyofanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini.

About the author

mzalendo