Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

SERIKALI KUFANYIA KAZI MADENI YA VYOMBO VYA HABARI

Written by mzalendo

Na Mwandishi Wetu, Dodoma.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini kuilinda taaluma ya habari kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi wa sekta hiyo nchini.

Ameyasema hayo leo Aprili 29, 2024 jijini Dodoma wakati akihutubia Jukwaa la Wahariri katika Mkutano wa 13 wa mwaka wa Kitaaluma uliohudhuriwa na Wahariri kutoka maeneo mbalimbali nchini.

“ Watendeeni haki watu wanaokuwa vyanzo vyenu vya habari, mahali ambapo mnaona hawatoi ushirikiano tumieni mbinu mlizofundishwa kitaaluma ili kupata taarifa sahihi kutoka katika chanzo cha habari”, amesema Dkt. Biteko.

Aidha, Dkt. Biteko amewataka Wahariri nchini kuhamasisha maudhui yenye maadili mema ili kufanya Watanzania kujivunia utamaduni wao na maudhui yao, sambamba na kuwahamasisha wafanyekazi kwa bidii.

Pia, ametoa wito kwa Wahariri hao kuwakuza kitaaluma waandishi wa habari wachanga ili wafanye kazi kwa kuzingatia sheria, misingi na miongozo ya taaluma ya habari nchini.

Kuhusu madeni ya vyombo vya habari wanayodai katika Wizara, Taasisi na Mashirika ya Serikali, Dkt. Biteko amesema “ Kuhusu madeni tutafanyiakazi jambo hili, Waziri nenda kaniandikie na tutatafuta namna ya kushughulikia ili wanaodai walipwe fedha zao”.

Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko amesema kuwa Serikali itahakikisha matumizi ya gesi yanapewa kipaumbele na kuwa inafanya jitihada ili kupunguza gharama ya mitungi ya gesi kwa kushirikiana na wazalishaji pamoja na wasambazaji kwa kufungua vituo katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuzalisha na kusambaza gesi.

“Ifikapo mwaka 3034 tunataka asilimia 80 ya Watanzania wawe wanatumia gesi, tunaomba ushirikiano wenu ili kufanikisha ajenda ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kasi kubwa zaidi na kama mnavyofahamu kuwa Rais Samia ni kinara wa uhamasishaji wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia hapa barani Afrika”, amesisitiza Dkt. Biteko.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa Serikali imeendelea kuboresha sekta ya habari nchini kwa kuimarisha uhuru wa habari ikiwa ni pamoja na kuanza kufanyiakazi teknolojia ya matumizi ya akili bandia nchini.

“ Tumewaambia wanahabari timizeni wajibu wenu, zingatieni sheria, taratibu na usawa”, amesema Waziri Nape.

Akizungumzia uundwaji wa Bodi ya Ithibati, Baraza Huru la Habari na Mfuko wa Mafunzo kwa Wanahabari amefafanua “Mchakato wa uundwaji wa taasisi hizi unaendelea na tayari uko katika hatua za juu ni imani yangu utakamilika na hivi vyombo vitafanyakazi.”

Naye, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Bw. Deodatus Balile ameipongeza Serikali kwa kukutana na waandishi wa habari na kuelezea kuhusu utendaji wa shughuli zake.

Ambapo ameiomba Serikali kuongeza bajeti yake ya matangazo katika vyombo vya habari.

“Tunaomba bajeti ya matangazo iongezwe kwa kuwa Serikali ni mdau na mnufaika mkubwa kwa vile taarifa tunazoziandaa zinapelekwa kwa wananchi”, amesema Balile.

About the author

mzalendo