slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

kingroyal

truvabet

truvabet

Featured Kitaifa

KATAMBI AKABIDHI AMBULANCE KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA MANISPAA YA SHINYANGA

Written by Alex Sonna
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (kushoto) akikata utepe wakati akikabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga
 
Na Kadama Malunde & Marco Maduhu – Shinyanga
 
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu amekabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  ambalo litatumika kutoa huduma Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga.
 
Katambi amekabidhi Ambulance hiyo leo Jumamosi Aprili 27,2024 katika Stendi ya Magari Soko Kuu Manispaa ya Shinyanga  na kushuhudiwa na wananchi,viongozi wa Serikali pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
 
Amesema hiyo ni Ambulance ya pili ambayo ameitoa katika ahadi zake, ambapo ya kwanza aliitoa February 8 Mwaka huu na leo pia amekabidhi Ambulance nyingine ili kuendelea kuboresha huduma za Afya.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (kushoto) akikata utepe wakati akikabidhi Ambulance
 
“Nimekuja kwa awamu nyingine kukabidhi gari hili ‘Ambulance’ niliyopewa na Mama, Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili lisaidie kuboresha huduma za afya katika Manispaa ya Shinyanga. Mimi nikiahidi natekeleza, Ambulance ambayo naikabidhi leo itatumika kutoa huduma Kituo cha Afya Kambarage na ile ilikuwa ya Kambarage kwa sababu ni ndogo itakwenda Ihapa,”amesema Katambi.
 
Katambi amemshukuru  Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha nyingi na kuboresha huduma za afya kwa wananchi pamoja na kutoa ajira za afya pamoja na upatikanaji wa vifaa tiba.
Mhe. Patrobas Katambi
 
Katika hatua nyingine amemshukuru Rais Samia, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa miongozo yao na kumwezesha kufanya kazi za Serikali pamoja na kuhudumia wananchi wa Jimbo lake.
 
Kwa upande, Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga (DMO) Dkt. Elisha Robert, ameshukuru kupata Ambulance hiyo na kwamba sasa zimefika nne katika Manispaa hiyo ambazo zitasaidia kubeba wagonjwa na kuwawahisha kupata huduma za matibabu.
 
Amesema ndani ya miaka mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Manispaa ya Shinyanga zimeshajengwa zahanati mpya sita na zingine mbili zinaendelea kukamilishwa ikiwamo ya Mwamagunguli pamoja na kutoa ajira 93 za watumishi wa afya.
 
Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Zamda Shaban, amemshukuru Mbunge Katambi kwa kuendelea kupambania Wananchi katika suala zima la Maendeleo na sasa ameendelea kutekeleza Ahadi yake ya kuleta magari ya wagonjwa.
 
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini Anord Makombe, ametoa wito kwamba Magari hayo ya Wagonjwa ambayo yamekabidhiwa na Mbunge kwamba wayatunze pamoja na madereva kuyaendesha vizuri na kutosababisha ajali.
 
ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (kushoto) akizungumza wakati akikabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga leo Jumamosi Aprili 27,2024 – Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (kushoto) akizungumza wakati akikabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (kushoto) akikata utepe wakati akikabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (kushoto) akikata utepe wakati akikabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akiendesha gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’ katika Manispaa ya Shinyanga
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga (DMO) Dkt. Elisha Robert akionesha vifaa vilivyomo ndani ya gari jipya la wagonjwa katika Manispaa ya Shinyanga
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga (DMO) Dkt. Elisha Robert akionesha vifaa vilivyomo ndani ya gari jipya la wagonjwa katika Manispaa ya Shinyanga
Gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  lililokabidhiwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu  kwa ajili ya kutoa huduma za afya Manispaa ya Shinyanga
Gari maalumu la kubebea wagonjwa lililokabidhiwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu  kwa ajili ya kutoa huduma za afya Manispaa ya Shinyanga

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga (DMO) Dkt. Elisha Robert na watumishi wa afya wakionesha furaha baada ya kukabidhiwa gari jipya la wagonjwa 
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akizungumza wakati akikabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini Anord Makombe akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga (DMO) Dkt. Elisha Robert akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga
Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Zamda Shaban akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga

Katibu wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Naibu Katalambula akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’  katika Manispaa ya Shinyanga

Viongozi na wananchi wakiwa kwenye hafla ya makabidhiano ya gari maalumu la kubebea wagonjwa katika Manispaa ya Shinyanga

Viongozi na wananchi wakiwa kwenye hafla ya makabidhiano ya gari maalumu la kubebea wagonjwa katika Manispaa ya Shinyanga.
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
About the author

Alex Sonna