Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking giriş

meritking

meritking

mavibet giriş

meritking telegram

marsbahis giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

marsbahis

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

kingroyal

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

timebet

betpas

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

bodrum escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10 sorunsuz giriş

betsat giriş

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betgaranti

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

matbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

Featured Kitaifa

ZDCEA YATAIFISHA ZAIDI YA VITU VYENYE THAMANI YA BILIONI 15

Written by mzalendo
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanal Burhan Zubeir Nassoro akijibu maswali  alioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kutaifisha Mali za Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya ambao wamekataa Wito na Kukimbia Nchini hafla iliofanyika katika Ofisi ya Mamlaka hio Migombani Wilaya ya Mjini Zanzibar.

Na Ibrahim Dunia. Maelezo. 

Zaidi ya vitu vyenye thamani ya Sh. Billioni 15 vimetaifishwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya Zanzibar (ZDCEA) baada ya kubainika kutokana na dawa za kulevya.

Akizungumza na Waandishi wa habari huko ofisini kwake Migombani wilaya ya Mjini, Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Kanal Burhan Zubeir Nassoro amesema watuhumiwa wamebainika kufanya biashara haramu ya dawa za kulevya katika nchi mbalimbali ikiwemo Zanzibar, Tanzania Bara, Afrika, Asia, Ulaya na Marekani.

Amesema watuhumiwa wamejipatia fedha sh. Bilioni 15 na kuzitumia kwa njia ya utakatishaji wa fedha haramu kwa kununua magari ya kifahari, nyumba, viwanja na kuanzisha biashara hewa.

‘‘Wahalifu wa aina hii wanatumia nguvu ya fedha na mbinu mbalimbali ili wasitambulike na waonekane watu wema katika jamii kwa kutoa misaada mbalimbali ikiwemo ujenzi na ukarabati wa nyumba za ibada, kuchimba visima vya maji, kufadhili mchezo wa mpira wa miguu na kuhudumia watoto yatima’’alisema Kanal Burhan.

Aidha amesema Serikali ya awamu ya nane chini ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi, imedhamiria kwa dhati kudhibiti na kupambana na uhalifu wa dawa za kulevya Zanzibar bila kuangalia jina na wadhifa wa mtu.

Mbali na hayo amewataka watuhumiwa wanajishughulisha na biashara za haramu kujisalimisha katika vyombo vya usalama sambamba na kuwataka wananchi kutoa taarifa za watuhumiwa kama hao wakati wanapowabaini katika jamii ili kuweza kuondosha tatizo hilo.

Vitu vilivyotaifishwa ni pamoja na Gari 6, zenye thamani ya millioni 300.9, Vyombo vya usafiri majini 3, vyenye thamani ya million 200.9, viwanja na makaazi ya biashara 8, zenye thamani Billioni 6.8, Nyumba za kifahari (Beach Villa) 2, zikiwa na thamani Billioni 6.3, nyumba za makaazi na Biashara 8, zikiwa na thamani Billion 1.7 ambapo watuhumiwa wanadaiwa kutoroka nje ya nchi.

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanal Burhan Zubeir Nassoro kuhusiana na Kutaifisha Mali za Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya ambao wamekataa Wito na Kukimbia Nchini hafla iliofanyika katika Ofisi ya Mamlaka hio Migombani   Wilaya ya Mjini Zanzibar. 

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanal Burhan Zubeir Nassoro akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kutaifisha Mali za Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya ambao wamekataa Wito na Kukimbia Nchini hafla iliofanyika katika Ofisi ya Mamlaka hio Migombani Wilaya ya Mjini Zanzibar.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanal Burhan Zubeir Nassoro akijibu maswali  alioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kutaifisha Mali za Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya ambao wamekataa Wito na Kukimbia Nchini hafla iliofanyika katika Ofisi ya Mamlaka hio Migombani Wilaya ya Mjini Zanzibar.

Muandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi Jesse Mbezi Mikofu akiuliza maswali katika Mkutano wa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanal Burhan Zubeir Nassoro akizungumza kuhusiana na Kutaifisha Mali za Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya ambao wamekataa Wito na Kukimbia Nchini hafla iliofanyika katika Ofisi ya Mamlaka hio Migombani   Wilaya ya Mjini Zanzibar.  

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanal Burhan Zubeir Nassoro akisisitiza jambo wakati akijibu maswali  alioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kutaifisha Mali za Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya ambao wamekataa Wito na Kukimbia Nchini hafla iliofanyika katika Ofisi ya Mamlaka hio Migombani Wilaya ya Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

About the author

mzalendo