Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA NJE YA NCHI

Written by mzalendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania Nchi za Nje kwa njia ya Mtandao (Video Call) walipokuwa kwenye Mkutano unaojadili kuhusu Mkakati wa Diplomasia ya Umma na Tathmini ya kiutendaji (Retreat) uliofanyika Kibaha Mkoani Pwani tarehe 22 Aprili, 2024

About the author

mzalendo