marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

pusulabet

matbet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

ultrabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

1win

marsbahis

ngsbahis

betlike

teosbet

batumslot

mislibet

meritbet giriş

artemisbet

meritbet

jojobet

kulisbet giriş

meritking

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet giriş

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

enjoybet giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWAONYA WAFANYABIASHARA WANAOKWEPA KODI

Written by Alex Sonna
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Aprili, 2024.

 

*Asema serikali yake ilikataa kodi za dhuluma, lakini wafanyabiashara wamegeuka na kuidhulumu serikali kodi

Na Mwandishi Wetu

Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya wafanyabiashara wanaokwepa kodi nchini, huku akisema kuwa dhuluma hiyo inachelewesha maendeleo ya nchi.

 

Rais amesema kuwa licha ya makusanyo ya kodi kuongezeka ndani ya miaka mitatu iliyopita, bado kuna wafanyabiashara nchini wanakwepa kodi.

 

Samia amesisitiza kuwa Serikali yake ya Awamu ya 6 iliachana na mfumo wa kukusanya kodi kwa ubabe ili kuimarisha uwekezaji na biashara nchini, lakini baadhi ya wafanyabiashara wanatumia vibaya nia hiyo njema ya Serikali kwa kukwepa kodi.

 

“Nilikataa kodi za dhuluma ili tuendane na misingi ya haki. Lakini inasikitisha kuona kwamba wafanyabiashara wetu sasa wamegeuza, tumekataa kodi za dhuluma kama serikali, wafanyabiashara wanafanya dhuluma ya kodi. Wanadhulumu kulipa kodi,” Rais Samia alisema kwenye Baraza la Idi jana jijini Dar es Salaam.

 

Rais ameonya kuwa dhuluma ya kodi inayofanywa na baadhi ya wafanyabiashara nchini inarejesha nyuma maendeleo ya taifa.

“(Wafanyabiashara) wanadhulumu mapato ambayo yangetumiwa kuhudumia wananchi,” amesisitiza.

 

“Wanafanya hivyo kwa sababu mbalimbali, labda za kisiasa, kiuchumi ili wapate utajiri zaidi, wapate mapato zaidi au uhujumu kwa makusudi kuendelea kuhujumu maendeleo ya wananchi. Niwasihi waache dhuluma hiyo inayochelewesha maendeleo ya nchi yetu na sote tuwe raia wema na tutimize wajibu wetu.”

 

Rais Samia amesema kuwa licha ya ukwepaji kodi unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu, makusanyo ya ndani yanaendelea kuongezeka chini ya Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA).

 

Makusanyo ya kodi yamepanda kutoka Shilingi trilioni 18 mwaka 2020/21 wakati anaingia madarakani hadi Shilingi trilioni 24 kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, amesema.

“Nitumie fursa hii kuwapongeza wafanyabiashara wote wanaotoa risiti wanavyouza na wananchi wote wanaoendelea kudai risiti wanaponunua bidhaa,” Rais Samia amesema.

About the author

Alex Sonna