Featured Kitaifa

DKT. BITEKO AMTEMBELEA MZEE STEPHEN MASHISHANGA NYUMBANI KWAKE MOROGORO

Written by mzalendoeditor

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, Amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake, Mtaa wa Forest, Mkoani Morogoro Aprili 11, 2024.

About the author

mzalendoeditor