Featured • Kitaifa DKT. BITEKO AMTEMBELEA MZEE STEPHEN MASHISHANGA NYUMBANI KWAKE MOROGORO 1 year agoby Alex Sonna157 Views Written by Alex Sonna Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, Amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake, Mtaa wa Forest, Mkoani Morogoro Aprili 11, 2024. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn