Kitaifa

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITRI

Written by mzalendo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Dini, Serikali pamoja waumini wa Dini ya Kiislamu Wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt Hussen Ali Mwinyi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar.

      …….EID MUBARAQ…..

Kullu Gham waantum Bikhair.

About the author

mzalendo