Featured Kitaifa

MAPOKEZI YA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM NI MOTO

Written by mzalendoeditor

 

UMOJA wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu Jijini Dodoma.

Inapenda kuwaalika Viongozi wa Dini, Wazee wa Heshima, Wanachama wa CCM, Jumuiya ya Wazazi, UWT, Vijana, Wapenzi na Mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma na Mikoa Jirani.

Kuweza Kuhudhuria na Kushiriki katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi, Ndugu. Ally Salum Hapi *(MNEC)* akiambatana na Manaibu Wake, Ndugu. Joshua Mirumbe Chacha *(Bara)* na Ndugu.Alli Issa *(ZnZ)* katika shughuli itakayofanyika Tarehe *08/04/2024* katika Ofisi za Makao Makuu ya Jumuiya ya Wazazi iliyopo Dodoma Mjini, Jijini Dodoma.

Shamra Shamra na shughuli ya Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi, Ndugu. Hapi na Manaibu wake Yatafanyika kuanzia Saa Tatu Asubuhi (09:00) na kutarajiwa kumalizika Saa Sita Kamili Mchana (12:00).

*NYOTE MNAKARIBISHWA*

*#MzaziKazini*
*#WazaziTupoImara*
*#UchunguWaMwanaAujuayeMzazi*
*#WazaziMpangoMzimaNaRaisSamiaSuluhuHassan2025*
*#MaadhimishoYaWikiYaWazaziKitaifa12-18/04/2024*

About the author

mzalendoeditor