Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

HAKUNA MWANAFUNZI KURUDISHWA KISA MICHANGO

Written by mzalendo

AZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,akizungumza wakati akifunga  Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu uliomalizika leo Aprili 5,2024 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,akisisitiza jambo kwa washiriki (hawapo pichani)  wakati akifunga  Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu uliomalizika leo Aprili 5,2024 jijini Dodoma.

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo,akizungumza wakati wa kufunga  Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu uliomalizika leo Aprili 5,2024 jijini Dodoma.

      

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri  wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,(hayupo pichani) wakati akifunga  Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu uliomalizika leo Aprili 5,2024 jijini Dodoma.

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo,akiteta jambo na Mkuu wa Kitengo cha Elimu Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) Dkt. Daniel Baheta, wakati wa kufunga  Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathimini wa sekta ya elimu kwa mwaka 2023/24 wenye kaulimbiu kuwa Mageuzi katika Elimu kwa Maendeleo Endelevu uliomalizika leo Aprili 5,2024 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA MARUFUKU KUWARUDISHA WANAFUNZI WALIOSHINDWA KULIPA MICHANGO

WALIMU SHULE ZA MSINGI WAPIGWA MARUFUKU KUWARUDISHA WATOTO KISA MICHANGO

Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia  imewaelekeza  walimu wa shule za msingi nchini kutowarudisha nyumbani wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuwalipia michango mbalimbali na badala yake waachwe waendelea na masomo. 
Hayo yameelezwa leo Aprili 5,2024 Jijini hapa na Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini Prof.Adolf Mkenda  wakati akifunga Mkutano wa mwaka wa pamoja wa tathmini ya Sekta ya elimu  kwa mwaka 2023/2024 . 
Amesema hakuna utaratibu wa kiserikali wa kumrudisha mwanafunzi nyumbani kwa kukosa michango kwa kuwa  dhana ya elimu bila ada inaelekeza mtoto asinyimwe kwenda shule kwa kukosa michango na kufafanua kuwa hakuna adhabu yoyote itakayofanya mtoto akose  masomo. 
Waziri Mkenda ameeleza kuwa licha ya changamoto zilizopo kwenye Sekta hiyo,Walimu wanapaswa kuheshimiwa ili kuwafanya wanafunzi kuwa bora.
“Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wote wa elimu katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ili kuleta mageuzi kuanzia ngazi ya chini hadi vyuo vikuu.”amesema Prof.Mkenda
Aidha Prof. Mkenda ameitaka jamii kushiriki kikamilifu katika michango ya chakula shuleni ili kuendelea kuiunga mkono serikali katika dhana yake ya elimu bila malipo.
“Elimu bila malipo haina maana kuwa ni elimu bure kwa sababu wazazi mnanunua madaftari na vitu vingine vya kumuwezesha mtoto kusoma bila changamoto sasa kwa sababu serikali ilishafanya kazi kubwa ya kutoa elimu bila malipo , jamii nayo ihamasike kuchangia baadhi ya michango ikiwemo chakula  na isitokee mtoto  akarudishwa nyumbani eti kisa hajalipa michango yeyote,” amesisitiza
Kwa upande wake Kamishina wa Elimu Dkt. Lyabwene Mtahabwa amebainisha mambo muhimu yaliyojadiliwa katika kaikao chicho kilichowachukua muda wa siku tatu ambapo ameeleza kuwa wamejadili na kuazimia kwenda kuyafanyia kazi maeneo ambayo yataleta ufanisi katika wa elimu. 
Mengine ni kuboresha vikao na mikutano ya pamoja ya tathimini katika sekta ya elimu ili kuleta matokeo chanya na kuboresha mpango wa chakula na lishe  mashuleni ambapo  wameazimia ikiwezekana sheria itungwe ya kuwataka wazazi wachangie masuala mazima ya elimu pale inapobidi kwani bila afya akili hakuna. 
Maeneo  mengine ni  kupeleka Sera za mitaala ili kulahisisha wadau na walimu katika utendaji kazi,kutaka elimu ya juu kuakisi mabadiliko yote yalifanyika kuanzia elimu ya ngazi ya chini, bila kusahau kuimalisha ushirikiano kati ya wizara na wadau Mbalimbali wanaotoa elimu hapa nchini na nje ya nchi . 

About the author

mzalendo