slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

slot siteleri

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

piabet

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO AZINDUA MRADI WA TWIGA YA KIJANI

Written by mzalendo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipanda mti pamoja na wanafunzi wakati akizindua Mradi wa ‘Twiga wa Kijani’ unaohusisha zoezi la upandaji wa miti katika shule za 60 za mikoa sita ya Tanzania, leo Machi 28, 2024 katika viwanja vya Shule ya Msingi Jeshini, Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwanawisha wanafunzi baada ya kupanda nao mti wakati akizindua Mradi wa ‘Twiga wa Kijani’ unaohusisha zoezi la upandaji wa miti katika shule za 60 za mikoa sita ya Tanzania, leo Machi 28, 2024 katika viwanja vya Shule ya Msingi Jeshini, Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akifuatilia zoezi la upandaji wa mti wakati wa uzinduzi wa Mradi wa ‘Twiga wa Kijani’ unaohusisha zoezi la upandaji wa miti katika shule za 60 za mikoa sita ya Tanzania, leo Machi 28, 2024 katika viwanja vya Shule ya Msingi Jeshini, Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na viongozi mbalimbali, wanafunzi na walimu wakati wa uzinduzi wa Mradi wa ‘Twiga wa Kijani’ unaohusisha zoezi la upandaji wa miti katika shule za 60 za mikoa sita ya Tanzania, leo Machi 28, 2024 katika viwanja vya Shule ya Msingi Jeshini, Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.

…..

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amezielekeza halmashauri zote Tanzania Bara kupanda miti pembezoni mwa barabara ili kuipendezesha miji na kuhifadhi mazingira.

Dkt. Jafo ametoa maelekezo hayo wakati akizindua ‘Mradi wa Twiga wa Kijani’ unaohusisha zoezi la upandaji wa miti katika shule za 60 za mikoa sita ya Tanzania, leo Machi 28, 2024 katika viwanja vya Shule ya Msingi Jeshini, Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.  

Amelipongeza Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kuliwezesha Shirika lisilo kiserikali la WBM kwa kuandaa mradi huo na zoezi la upandaji wa miti aliloliongoza akisema kuwa litasaidia kuwajengea wanafunzi ari ya kushiriki kikamilifu katika utunzaji wa mazingira.

Amesema kuwa Tanzania imekuwa ikitembelewa na wageni kutoka mataifa mbalimbali duniani hususan baada ya kuzalishwa kwa  filamu ya ‘Royal Tour‘ na Serikali kununua ndege nyingi zaidi hivyo ni muhimu tukatengeneza madhari ya kuvutia pembezoni mwa barabara kwa kupanda miti.

Waziri Dkt. Jafo ameyataka majiji ya Dar es Salaam, Mwanza, Tanga, Mbeya, Arusha na Dodoma kuwa ya mfano wa kuigwa katika kutekeleza maelekezo ya kupandwa miti pembezoni mwa barabara.

Halikadhalika, amewaelekeza wakurugenzi wa halmashauri za manispaa kusimamia zoezi la usafi katika maeneo yao kwa kuwa na wakandarasi wa usafi wenye vifaa bora.

“Haipendezi hata kidogo unafika katika jiji fulani au manispaa fulani uchafu umetapakaa katika mitaro mvua ikinyesha mitaro inaziba na wakati mwingine malori ya yameegeshwa wakandarasi hawajatoa taka, nielekeze tena mtekeleze maelekezo hayo, imani yetu halmashauri zetu zitakuwa safi,“ amesisitiza.

Ametumia nafasi hiyo pia kuzisihi kampuni za nishati safi ya kupikia kwa kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuachana na kuni na mkaa ili kuokoa miti inayokatwa.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya Sengerema Asenyi Ngaga aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa amesema kwa kutokana na idadi kubwa ya watu katika mkoa huo suala la utunzaji wa mazingira ni muhimu.

Amesema endapo mazingira yasipotunzwa kutahatarsisha Maisha hivyo hawana budi kuunga mkono juhudi za Ofisi ya Makamu wa Rais na Serikali kwa ujumla katika kupanda miti.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania Bw. Ladislaus Matindi amesema kuwa usafiri wa anga unaweza kuchangia ongezeko la joto duniani kwa asilimia tano.

Amesema kutokana na hali hiyo Jumuia ya Usafiri wa Anga wamekubaliana kutumia injini zisizotumia mafuta ya petroli na badala yake itumike nishati mbadala ya mafuta ya nafaka za mbegu jamii ya maharage.

Pia, Bw. Matindia amesema zinachukua hatua ya kuhakikisha ndege hazichangii katika kutoa gesi chafu angani pamoja na kupunguza muda wa kukaa angani kwa ndege hizo ili kupunguza gesijoto inayotoka.

Mkurugenzi wa WBM Bi. Latifa Mohamed amesema lengo la kampeni hiyo ni miti 6,000 katika mwaka mmoja kwenye shule sita za msingi na sekondari katika mikoa ya Mwanza, Kagera, Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na Mtwara.

Bi. Latifa amesema kupitia mradi huo wenye kaulimbiu ‘Mazingira yetu, Maisha yetu‘ utasaidia kupunguza athari za uchafuzi wa mazingira kwa kutoa elimu ya mazingira kwa wanafunzi 

 

About the author

mzalendo