Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

REA YAMHESHIMISHA RAIS SAMIA CHEKELEI KOROGWE

Written by mzalendo

Viongozi wa Shule ya Sekondari Chekelei iliyopo Kijiji cha Madumu wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga wakipokea Vifaa mbalimbali ikiwemo Printa ya kisasa kutoka kwa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), ikiwa ni ahadi ya Serikali kuwezesha matumizi ya umeme yenye tija kwa wananchi vijijini. Tukio hilo limefanyika Machi 26, 2024 ikiwa ni sehemu ya ziara ya Bodi kukagua miradi mbalimbali ya nishati vijijini.

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu akizungumza wakati wa tukio la Bodi hiyo na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kukabidhi vifaa mbalimbali ikiwemo Printa ya kisasa kwa Shule ya Sekondari Chekelei iliyopo kijiji cha Madumu, wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga ikiwa ni ahadi ya Serikali kuwezesha matumizi ya umeme yenye tija kwa wananchi vijijini. Tukio hilo limefanyika Machi 26, 2024 ikiwa ni sehemu ya ziara ya Bodi kukagua miradi mbalimbali ya nishati vijijini.

Katibu wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) akizungumza wakati wa tukio la Bodi hiyo na Menejimenti ya REA, kukabidhi vifaa mbalimbali ikiwemo Printa ya kisasa kwa Shule ya Sekondari Chekelei iliyopo kijiji cha Madumu, wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga ikiwa ni ahadi ya Serikali kuwezesha matumizi ya umeme yenye tija kwa wananchi vijijini. Tukio hilo limefanyika Machi 26, 2024 ikiwa ni sehemu ya ziara ya Bodi kukagua miradi mbalimbali ya nishati vijijini.

Sehemu ya Umati wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chekelei iliyopo katika kijiji cha Madumu, wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga wakifuatilia tukio la Bodi ya Nishati Vijijini (REB) na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kukabidhi vifaa mbalimbali ikiwemo Printa ya kisasa kwa Shule hiyo ikiwa ni ahadi ya Serikali kuwezesha matumizi ya umeme yenye tija wa wananchi. Tukio hilo limefanyika Machi 26, 2024 ikiwa ni sehemu ya ziara ya Bodi kukagua miradi mbalimbali ya nishati vijijini.

Mojawapo ya majengo ya Shule ya Sekondari Chekelei iliyopo katika kijiji cha Madumu, wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga. Taswira hii ilichukuliwa Machi 26, 2024 wakati wa tukio la Bodi ya Nishati Vijijini (REB) na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kukabidhi vifaa mbalimbali ikiwemo Printa ya kisasa kwa Shule hiyo ikiwa ni ahadi ya Serikali kuwezesha matumizi ya umeme yenye tija kwa wananchi.

Baadhi ya vifaa vilivyokabidhiwa na Bodi ya Nishati Vijijini (REB) na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa Shule ya Sekondari Chekelei iliyopo katika kijiji cha Madumu, wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga, Machi 26, 2024 ikiwa ni ahadi ya Serikali kuwezesha matumizi ya umeme yenye tija kwa wananchi.

Na Veronica Simba, REA – Korogwe

Walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chekelei iliyopo kijiji cha Madumu, wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wanapata huduma zote za msingi ikiwemo umeme na vitendea kazi mbalimbali, hali ambayo wameeleza itasaidia kuboresha taaluma shuleni hapo[VHS1] .

Wametoa shukrani hizo Machi 26, 2024 wakati Bodi ya Nishati Vijijini (REB) na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) walipotembelea Shule hiyo na kukabidhi printa ya kisasa, wino wake pamoja na karatasi za kuchapishia, ikiwa ni kutimiza ahadi iliyotolewa Machi mwaka jana na aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.

Akizungumza mbele ya Ujumbe huo ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, Mkuu wa Shule, Siwema Mashoto amesema uwepo wa umeme wa REA sambamba na Mashine hiyo ya Printa waliyokabidhiwa pamoja na vifaa vyake vitasaidia kuboresha kiwango cha elimu kwa wanafunzi.

“Hakika Mama Samia anaupiga mwingi, tunamshukuru sana. Baaada ya muda rudini mtuulize kuhusu mabadiliko katika kiwango cha taaluma maana tunaamini yatakuwa yamekuwa bora zaidi,” amesisitiza.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi Balozi Kingu amewataka walimu na wanafunzi kutunza vyema vifaa walivyopatiwa na kuvitumia kwa tija ili vilete manufaa yanayokusudiwa kwao.

Awali, akieleza lengo la ziara hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa REA ambaye pia ni Katibu wa Bodi, amesema Wakala unatamani kuona wananchi wote waliofikiwa na umeme wanautumia kwa tija ili azma ya Serikali inayolenga kuboresha maisha vijijini itimie.

“Ndiyo maana leo tumewatembelea ili kutekeleza ahadi iliyotolewa kwenu na viongozi wetu. Tunataka wananchi waelewe kwamba kuunganisha umeme peke yake haitoshi ikiwa hautumiki kubadili maisha. Printa na vifaa vingine tulivyowapatia leo, vinalenga kuleta tija ya uwepo wa umeme shuleni hapa,” amefafanua.

Katika hatua nyingine, Mkurugenzi Mkuu ametoa ahadi kuwa REA itawapatia majiko banifu, Walimu wote wa Shule hiyo pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki katika tukio hilo ili wawe Mabalozi wazuri wa Ajenda ya Rais Samia ya kumtua Mama kuni kichwani kwa kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Pia, ameahidi kuwa REA itakamilisha kazi ya kutandaza mfumo wa nyaya za umeme (wiring) katika majengo yote ya shule hiyo ili umeme ambao umekwishafikishwa utumike kwa tija zaidi.

“Tutatuma wataalamu kufanya tathmini kisha tufanye hiyo kazi mara moja.”

Naye Katibu wa Chama Cha Mapinduzi, Kata ya Chekelei, Mohamedi Fumbili ameipongeza Serikali kupitia REA akinukuu maneno kutoka Vitabu Vitakatifu kuwa ‘anayeahidi na kutimiza anapata thawabu kwa Mungu.”

Aidha ameongeza kuwa tukio lililofanywa na REA ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Tawala hivyo ni kumuheshimisha Mwenyekiti wake, Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Serikali kwa ujumla.

Bodi ya Nishati Vijijini iko mkoani Tanga kushiriki vikao vya kazi na hivyo inatumia fursa hiyo pia kutembelea na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini.

About the author

mzalendo