Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

KINANA AMKUMBUKA LOWASSA KWA UWAJIBIKAJI, KUUNGANISHA WATU

Written by mzalendo

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndg. Abdulrahman Kinana, Akisalimiana na Mjane wa Marehemu Mama Regina Lowassa Nyumbani kwake alipoungana na wanafamilia, viongozi wanachama, Serikali na wananchi katika ibada ya Shukrani ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Monduli Mjini Mkoani Arusha, Leo marchi 24, 2024.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndg. Abdulrahman Kinana, Akizungumza na wanafamilia, viongozi wa Serikali na waumini wa KKKT katika ibada ya Shukrani ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Monduli Mjini Mkoani Arusha, Leo marchi 24, 2024.(Picha na Fahadi Siraji).

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndg. Abdulrahman Kinana, Akizungumza na wanafamilia, viongozi wa Serikali na waumini wa KKKT katika ibada ya Shukrani ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Monduli Mjini Mkoani Arusha, Leo marchi 24, 2024.(Picha na Fahadi Siraji).

 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana, amesema kuwa, Waziri Mkuu Mstaafu Edwar Lowassa ni kiongozi wa mfano hususan katika uwajibikaji na kuwaunganisha Watanzania bila ya kujali imani zao.

Kinana ameyasema hayo  katika ibada ya Shukrani ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Monduli Mjini Mkoani Arusha, Leo marchi 24, 2024.

“Ndugu Lowassa tutamkumbuka kama kiongozi mzalendo kwa taifa hili. Alikuwa mzalendo, alikuwa mchapakazi, alikuwa mtu aliyetufundisha uwajibikaji, mtu aliyefahamika akiamua jambo lake anatimiza.

“Kuna jambo leo hii linazungumzwa hapa nchini, jambo linaitwa uwajibikaji, kama kuna darasa la uwajibikaji basi darasa hilo litakuwa Edward Ngoyayi Lowassa,” amesema.

Mbali na hilo, kinana amesema kuwa hayati Lowassa atakumbukwa kwa namna alivyowaunganisha Watanzania bila ya kujali itikadi zao.

“Baba askofu umezungumza sana  juu ya umoja wa Watanzania na ukasisitiza kwamba tofauti zetu za kiimani tofauti zetu za kikabila, za kimaeneo ziwe ni tofauti zinazotuunganisha kutufanya tuwe kitu kimoja.

“Ukaongeza kusema kwamba siku hizi kuna utamaduni mzuri zaidi unaoimarisha umoja wetu, dini zote zinashirikiana, mimi ni shahidi, ndugu Lowassa amechangia misikiti mingi sana nchini, na ni muhimu kumuogopa Mungu, kumuabudu Mungu,” ameeleza.

Amesema kinachowaunganisha Watanzania ni kushikamana, kuwa wamoja, kuwa ndugu bila ya kujali dini, vyama, itikadi wala makabila.

“Ninawaomba Watanzania wote tuendelee kushirikiana, tuendelee kuimarisha umoja na amani, ya nchi yetu kwani bila ya amani, bila ya umoja, undugu na mshikamano mambo mengine hayawezekani, kila mmoja wetu kwa imani yake tuendedelee kumtanguliza Mungu na wote tukimtanguliza Mungu nchi yetu itakuwa nchi ya baraka” ameeleza.

About the author

mzalendo