marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

setrabet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

royalbet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

Featured Kitaifa

MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA AIPAISHA SEKTA YA PAMBA NCHINI

Written by mzalendo

 

WAZIRI wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika leo Machi 23,2024 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe,akisisitiza jambo kwa washiriki wa  Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika leo Machi 23,2024 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.David Silinde ,akizungumza wakati wa  Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika leo Machi 23,2024 jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Bodi ya Pamba Tanzania Christopher Mwita Ghachuma,akitoa taarifa ya Maendeleo ya Tasnia ya Pamba wakati wa   Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika leo Machi 23,2024 jijini Dodoma.

MKUU wa Mkoa wa Simiyu,  Dk Yahya Nawanda,akizungumza kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa inayolima wakati wa   Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika leo Machi 23,2024 jijini Dodoma.

Mbunge wa Maswa Mashariki (CCM)Mhe.Stanslaus Nyongo,akizungumza kwa niaba ya wabunge wakati wa  Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika leo Machi 23,2024 jijini Dodoma.

BAADHI ya Wakuu wa Mikoa wakisikiliza hotuba ya Waziri  wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika leo Machi 23,2024 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakisikiliza hotuba ya Waziri  wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika leo Machi 23,2024 jijini Dodoma.

 Na.Alex Sonna-DODOMA 

WAZIRI wa Kilimo Hussen Bashe amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan Sekta ya Pamba inaendelea kukua kutoka  kuzalisha Tani 174 , 486 Hadi kufikia 282510 kwa Mwaka 2022/2023.

Waziri Bashe ameyasema hayo leo Machi 23,2024 wakati akifungua Mkutano wa wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika jijini Dodoma

Amesema kuwa  kuongezeka kwa uzalishaji huo kunatokana  na dhamira ya serikali ya Awamu ya Sita kutoa kipaumbele katika sekta ya kilimo.

“Uzalishaji wa zao la pamba umeendelea kuongezeka nchini hasa katika kipindi hiki cha uongozi wa Rais Dk.Samia kwasababu ameonyesha nia ya kukifanya kilimo kuwa ndio uti wa mgongo wa Taifa kwa kuongeza bajeti ya kilimo ili kuhakikisha pembejeo zote za zinapatikana,”amesema 

Aidha amesema kuwa Msimu wa kilimo wa mwaka 2012/2022 uzalishaji wa pamba ulikuwa tani 174,486 lakini kutokana na uwekezaji uliofanyika kuanzia ongezeko la bajeti vimechangia uzalishaji kuongezeka hadi kufikia tani 282,510 kwa msimu wa mwaka 2022/2023,.

Hata hivyo Mhe.Bashe amesema kuwa katika bajeti ya Mwaka wa fedha 2023/2024 Wizara ya Kilimo itatoa shilingi milioni 10 kwa Kila Mkuu wa mkoa na shilingi milioni 5 kwa kila mkuu wa Wilaya lengo likiwa ni kuwafanya waweze kufuatatilia shughuli za Kilimo hapa nchini. 
Aidha amesema kuwa katika bajeti hiyo watagawa magari na kujenga nyumba kwa maafisa ugani ambapo kwa bajeti hiyo pia wataoa magari 50 kwa maafisa Kilimo mkoa na maafisa Kilimo wa wilaya . 
“Wizara inakwenda kujaza mafuta pikipiki za maafisa ugani lengo ni kuondoa malalamiko ya kutokwenda kwa wakulima mashambani kwa kigezo cha kukosa mafuta na kwa hatua hiyo sasa tupo kwenye usajili wa wakulima tu nataka kujua mpaka sasa tuna wakulima wangapi na tunawasaidiaje uzuri baadhi ya wakulima wanaendelea kufanya usajili, “amesema Waziri Bashe. 
Kwa upande wake Mkurungenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba nchini (TCB) Marco Mtunga amesema Uzalishaji wa pamba baada ya msimu wa bei 2019 /20 walizalisha 348.77 baada yakupata hapo uzalishaji ulishuka baada ya mwenendo wa bei na wakulima walivyoweza kipata shida wakati ule. 
Baada ya kushirikiana na maelekezo ya Waziri wameweza kufanya mabadiliko makubwa na uzalishaji umeweza kufikia tani 282000 msimu huu tunaoishia 
“Vita kubwa tunayoendelea nayo ni kwamba mazao mengi likiwemo zao la pamba tija iko chini ndio tunapambana kuweza kurekebisha hiyo kasoro ili uzalishaji wa pamba uweze kuongezeka na Pato la mkulima kuongezeka, “amesema .
Amesema kwa sasa iko hivi mkulima anayezalisha kilo 200 pato lake ni dogo ukilinganisha na mkulima anayezalisha kilo 1000.
“Chakwanza tunachokwenda kukifanya mkulima ana kwenda kupanda kwa vipimo ili kupata idadi ya miche sahihi inayotakiwa kwenye eneo na kuboresha huduma za ugani ili elimu kwa matumizi ya viwatilifu na upandaji na shughuli zote za Kilimo ziweze kusimamiwa kwa karibu zaidi, ” Amesema. 
Na kuongeza “Tumeweza kusajili wakulima wawezeshaji zaidi ya 5000 ambao wapo karibu kila kijiji hao watatengeneza mtandao wa utoaji wa huduma za ugani kwamana badala ya afisa Kilimo mmoja kwenye kata watakuwa na watendaji wengine Saba hadi 10 ambao ni wakulima wanaozalisha vizuri nayo itasaidia Serikali kuajiri maafisa Kilimo wengi. 
Akiongelea suala la maafisa ugani kutofika kwa wakulima kwa kigezo cha pikipiki kukosa mafuta amesema ni kweli pikipiki zimesambazwa kila sehemu na wakurugenzi watendaji wametakiwa kusambaza mafuta ili maafisa ugani waweze kufanya kazi lakini Serikali imekuja na jambo jema kwa wakulima ambapo kwa Mwaka huu wafedha Serikali inakwenda kutenga fedha ya mafuta ya pikipiki kwa maafisa Kilimo kuweza kufanya kazi bila shida yoyote. 
Naye Mwenyekiti wa Bodi Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba Tanzania Christopher Mwita Ghachuma, Amesema kwenye sekta ya Pamba kumekuwepo na matatizo mengi ambayo mengine wanayamudu kuyatatua na mengine yapo nje ya uwezo wao
” Tunaiomba serikali yetu sikivu zile changamoto tunazoshindwa kuzitatua hasa sisi wakulima wa Pamba itusaidie ili tuone tija ya ukulima wetu, “amesema 

 

About the author

mzalendo