Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Kitaifa

TUWAELIMISHE VIJANA NAMNA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VVU” MHE. UMMY

Written by mzalendo

Na Mwandishi wetu- SINGIDA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi kuwa karibu na vijana kuwaelimisha namna ya kujikinga na maambukizi ya VVU.

Mhe. Ummy ameyasema hayo wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mkoani Singida, walipotembelea Konga ya WAVIU ya Halmashauri ya Singida Vijijini ikiwa ni sehemu ya kutembelea miradi inayotekelezwa na wadau kupitia Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS).

Mhe. Ummy amesema maambukizi ya VVU yanapungua lakini kwa makundi ya vijana na hasa kwa wasichana bado kasi ya maambukizi inaongozeka, hivyo wazazi na walezi hawana budi kutoa elimu kwa vijana ili kupata hamasa ya kupima Afya zao.

“Tuwaelimishe vijana namna ya kujikinga na maambukizi ya VVU, pia wasisitizieni wakapime wafahamu afya zao iwapo watakutwa na maambukizi watashauriwa kuanza dawa mapema,”alisema Mhe. Ummy.

Aliongeza kuwa Serikali inatoa dawa bila malipo, na dawa zipo za kutosha kwa ajili ya wananchi wake juhudi ambazo zinafanywa na Seraikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassanya kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora ya afya.

Aidha, amewahimiza wanaume kufanya maamuzi ya kwenda kupima Afya, kwani taarifa za awali za utafiti wa viashiria vya UKIMWI ya mwaka 2022/23 zinaonesha mwamko wa wanaume kupima afya bado upo chini.

“Nawaasa akina baba nendeni mkapime afya zenu,ukikutwa na maambukizi utaanza kutumia dawa na utaishi kwa malengo,”Alieleza.

Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo alimshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha kwa ajili ya huduma za Afya ambazo zinawezesha watanzania kuwa na Afya bora huku akimpongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida kwa kukusanya mapato ya ndani na kutenga fedha asilimia 10 kwa ajili ya kutoa mkopo wenye riba nafuu kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu.

“Suala la UKIMWI ni mtambuka na ndio maana likawekwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu ambaye ndiye Mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali hivyo wizara zote ni lazima kutekeleza shughuli za UKIMWI,”Alibainisha Mwenyekiti huyo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Konga ya Halmashauri ya Singida Vijijini Bw. Selemani Linja, alisema Konga ya Halmashauri ya Singida inatekeleza afua za UKIMWI kwa kushirikiana kwa karibu na uongozi wa Halmashauri na wadau mbalimbali kwa lengo la kuratibu masuala yanayohusu watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI.

“Shughuli tunazozifanya ni Kuhamasisha jamii kupima afya kwa hiari, Kutoa elimu ya VVU na ufuasi sahihi wa dawa kwa WAVIU, Kupinga unyanyapaa kwa WAVIU, Kuwakilisha WAVIU vijana na watu wazima katika majukwaa mbalimbali ya mwitikio wa UKIMWI ikiwa ni pamoja na Kamati za Kudhibiti UKIMWI ngazi zote pamoja na Kuunda vikundi vya WAVIU kwa lengo la kutoa elimu rika ya matumizi ya huduma za tiba na matunzo na kuinuana kiuchumi,”Alifafanua Mwenyekiti huyo.

Awali, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Jerome Kamwela alishukuru Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI kwa kuendelea kufuatilia na kushauri juu ya utekelezaji wa shughuli za Mwitikio wa UKIMWI Nchini, na kuahidi kuendelea kutekeleza ushauri na maagizo wanayonayotolewa na Kamati hiyo.

About the author

mzalendo