Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casibom

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

palacebet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

MBIBO ATAKA SHUGHULI ZA UTAFITI, UCHIMBAJI MADINI MKAKATI KUONGEZWA AFRIKA, ASIA, DUNIANI

Written by Alex Sonna

*Aeleza Juhudi za Makusudi Zilizochukuliwa na Serikali Kuboresha Mazingira ya Uwekezaji Nchini*

*Seoul*

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amesema ili kuwezesha usambazaji wa madini muhimu na mkakati ikiwemo matumizi ya nishati safi, shughuli za utafiti na uchimbaji zinapaswa kuongezwa barani Afrika, Magharibi, Asia ya Kati na duniani kwa ujumla ili kuongeza kikamilifu manufaa ya madini hayo ulimwenguni.

Ameongeza kwamba, kwa kuwa madini muhimu ni rasilimali zisizoweza kujadidishwa, ni muhimu sekta ya umma na binafsi kuungana na kufanya kazi kwa karibu ili pande zote ziweze kunufaika kikamilifu.

Mbibo ameyasema hayo Machi 5, 2024 wakati akitoa wasilisho kwenye Mkutano wa Wadau wa Madini Mkakati wa Asia na Afrika ulioandaliwa na Institute of Geoscience and Mineral Resources (KIGAM) ya nchini Korea Kusini na ambapo mkutano huo unaofanyika kwa Siku Mbili.

Amesema kwamba nchi ya Tanzania imebarikiwa utajiri wa kijiolojia unaobeba madini muhimu ya aina mbalimbali ikiwemo ya kimkakati ya nikeli, colbati, lithium, Shaba, niobioum, graphite pamoja na mengine muhimu ambayo yanahitajika duniani hivi sasa.

Ameeleza kuwa, katika kuhakikisha kwamba Ukanda unanufaika ipasavyo na rasilimali za madini hususan mkakati katika uzalishaji wa nishati safi, Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua za makusudi kuwezesha shughuli za uwekezaji nchini na kuzitaja baadhi kuwa ni pamoja na kuvutia uwekezaji wa umma na kampuni binafsi kufanya shughuli za utafiti wa madini ili kuibua vyanzo vipya vya madini mkakati, kuvutia wawekezaji wa kimataifa kushirikiana kuendeleza miradi ya kimaendeleo inayokwenda sambamba na vipaumbele vya taifa.

Amesema hatua nyingine ni pamoja na kuongeza uwazi na kujenga mazingira ya ushindani katika mnyororo mzima wa shughuli za madini muhimu na mkakati, kuongeza ushirikiano wa kimataifa na kuweka mazingira yanayokwenda sambamba na Sera za nchi pamoja na kuboresha usimamizi wa rasilimali madini ili kuwezesha ukuaji endelevu wa uchumi na kupunguza umaskini.

Vilevile, amesema kuwa, mbali na hayo, jiografia ya Tanzania inayounganisha nchi mbalimbali ni sababu tosha inayoifanya nchi hiyo kuwa sahihi kwa uwekezaji ikiwemo uwepo wa miundombinu inayoiunganisha na maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwepo wa bandari kubwa katika maeneo tofauti, amani na ukarimu wa watanzania.

Ameongeza kwamba, ushirikiano na Korea Kusini na nchi husika utapelekea kuwepo maendeleo endelevu kiuchumi kupitia Sekta ya Madini na hivyo kuwezesha uzalishaji wa ajira kwenye nchi ya Tanzania na duniani kiujumla na kutumia fursa hiyo kuipongeza KIGAM kufuatia jukumu kubwa inalofanya la kukuza ushirikiano na kuendeleza ustawi katika tasnia ya uzinduaji pamoja na kuonyesha maendeleo katika undelezaji wa madini mkakati.

Amepongeza taasisi hiyo kwa kuandaa hafla hiyo inayofanyika kila mwaka ambapo huwakutanisha watafiti wengi, wabunifu katika nyanja nyingi ikiwemo TV za betri za umeme na kueleza ni utaratibu ambao haupaswi kuachwa kwa mutskabali wa maendeleo wa madini mkakati duniani na bila kuathiri maendeleo ya pande zozote.

Katika hatua nyingine, Mbibo amefanya mazungumzo na Rais wa KIGAM Bw. Pyeong –Koo Lee ambapo wamejadili maeneo ambayo Korea Kusini inaweza kushirikiana na Tanzania kupitia taasisi ya GST. Masuala mengine yalizungumzwa yanahusu uwekezano wa KIGAM kuendesha utafiti wa pamoja na GST, ikiwezo ujenzi wa smelter na kuanzisha program maalum ya kuongeza ujuzi.

Aidha, akiwa nchini humo Mbibo alipata nafasi ya kuweka saini kitabu cha wageni cha maombelezo ya Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi ambaye alifariki dunia hivi karibuni

Wengine wanaoshiriki katika mkutano huo ni Kamishna wa Madini Dkt. AbdulRahman Mwanga na Mkurugenzi wa Huduma za Jiolojia kutoka GST Dkt. Ronald Massawe.

About the author

Alex Sonna