Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WATAALAMU 450 WAJADILI KUHUSU ELIMU BILA UKOMO

Written by mzalendo

Na Timoth Anderson

Zaidi ya wataalamu 450 wa elimu bila ukomo toka Tanzania Bara na Zanzibar wamekutana jijini Dar es salaam kwenye kongamano la kitaifa kuhusu elimu bila ukomo kwa lengo la kujadili kuhusu nafasi ya elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi pamoja na mustakabadhi wake kwa maendeleo ya jamii na Taifa.

 Kongamano hilo lililoandaliwa na Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) limezinduliwa tarehe 1 Machi, 2024 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyn Nombo aliyemwakilisha Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda.

Prof. Nombo amesema Serikali ya Awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kwa dhati katika kuhakikisha maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, pamoja na mitaala yanagusa mifumo yote ya utoaji elimu na si mfumo rasmi pekee.

“Mabadiliko yanatakiwa katika sekta ya elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi vilevile kukuza fursa za elimu isiyo na ukomo kwa watu wote na kumjenga mtanzania mwenye utamaduni wa kupenda kujisomea na kujiendeleza katika muktadha wa elimu bila ukomo”. amesema

Mkurugenzi wa Elimu Msingi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ndugu Abdul Maulid amesema elimu bila ukomo kwa karne ya sasa, sio kusoma, kuandika wala kuhesabu bali inaelekeza kuwepo kwa mifumo ya ujifunzaji endelevu na nyumbufu, ikijumuisha sehemu tatu muhimu yaani mfumo rasmi wa elimu; elimu nje ya mfumo rasmi; na elimu ya watu wazima.

 

“Elimu bila ukomo ni muhimu kwa sababu ya mabadiliko yanayoendelea kutokea kila wakati…Suala hili ni muhimu sana kwa kuwa linahusisha pia uwezo wa kumudu stadi za karne ya 21 ambazo ni stadi za kisomo,stadi za ujifunzaji,na stadi za maisha.” amesisitiza.

 

Kwa upande wake Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Prof. Michael Ng’umbi ameeleza kwamba TEWW inatekeleza elimu bila ukomo ambapo imeandaa kongamano hilo ambalo litawezesha Taasisi hiyo kutoa elimu kwa namna bora kutokana na matakwa ya mahitaji ya sasa. 

 Kongamano hilo imejadili kuhusu maboresho ya sera na mafunzo kwa kujadili nafasi ya elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi, mtazamo wa kisheria kuhusu elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi, ushirikishwaji wa wadau katika utekelezaji wa elimu bila ukomo, uzoefu wa elimu bila ukomo kutoka nchi nyingine pamoja na utekelezaji wa elimu bila ukomo katika muktadha wa sera mpya ya elimu.

Washiriki wa kongamano hilo wametoka kwenye Taasisi mbalimbali za Serikalini, mashirika ya kimataifa na wadau wa maendeleo ya sekta ya elimu.

About the author

mzalendo