Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

DKT. BITEKO AAGIZA ZAHANATI ILIYOUNGANISHIWA UMEME WA REA IANZE KAZI MARA MOJA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akizungumza na wananchi waliojitokeza katika hafla ya kuwasha umeme katika Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Na Veronica Simba – REA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko ameuagiza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kuhakikisha Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, iliyounganishiwa umeme wa REA inaanza kazi mara moja.

Ametoa maagizo hayo leo, Februari 22, 2024 wakati akizungumza na wananchi baada ya kuwasha umeme katika Zahanati hiyo.

“Umeme tayari tumewasha, kwahivyo hakuna haja ya kusubiri. Naagiza Zahanati hii ianze kazi Jumatatu ijayo (Februari 26) ili wananchi wapate huduma za afya kama Serikali ilivyodhamiria,” amesisitiza.

Aidha, Dkt. Biteko amewaagiza Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchini kote kuhakikisha wanakamilisha kwa wakati ili Serikali iendeleze miradi hiyo katika maeneo mengine ambayo hayajafikiwa.

Amesema kuwa kadri miradi ya umeme vijijini inavyoendelea kutekelezwa katika maeneo mbalimbali, kiu ya wananchi ambao hawajafikiwa inaongezeka hivyo ameiagiza REA kuhakikisha inasimamia suala la ukamilishwaji miradi hiyo kwa wakati.

Awali, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini kwa Mkoa wa Iringa, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema kuwa Vijiji vyote 360 vya Mkoa huo, sawa na asilimia 100 vimepatiwa huduma ya umeme kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

Ameongeza kuwa, mbali na kufikisha umeme katika vijiji vyote, REA pia imefikisha nishati hiyo katika vitongoji 1,188 kati ya 1,853 sawa na asilimia 64.11

“Vitongoji vilivyobaki vipo kwenye mpango wa kufikishiwa huduma ya umeme kupitia miradi ya ujazilizi na miradi ya vitongoji,” amesema Chibulunje.

Akitoa takwimu za Jimbo la Mufindi Kusini, ambapo ndipo kilipo kijiji cha Mkangwe, Mhandisi Chibulunje amesema kuwa vijiji vyake vyote 71 sawa na asilimia 100 vimekwishafikishiwa umeme kupitia miradi mbalimbali ya REA.

Ameitaja miradi hiyo kuwa ni pamoja na REA Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili, Mradi wa kupeleka umeme kwenye Vituo vya Afya na Pampu za Maji pamoja na Mradi wa kupeleka umeme kwenye Vitongoji.

Kuhusu Vitongoji, ameeleza kuwa Jimbo la Mufindi Kusini lina jumla ya Vitongoji 305 ambapo kati yake, 191 tayari vimekwishapatiwa umeme.

Kwa upande wa gharama zilizotumika kutekeleza miradi ya umeme katika vijiji vya Jimbo la Mufindi Kusini, amesema kuwa jumla ya shilingi bilioni 7.6 zimetumika.

Hafla hiyo ya kuwasha umeme imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyama vya Siasa na Serikali, wananchi pamoja na Wataalamu kutoka REA na TANESCO.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akiwasha umeme katika Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akizungumza na wananchi waliojitokeza katika hafla ya kuwasha umeme katika Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Godfrey Chibulunje akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Muonekano wa juu wa miundombinu ya umeme pamoja na nyumba zilizounganishwa na umeme katika Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa ambapo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko aliwasha umeme katika kijiji hicho leo Februari 22, 2024.

Muonekano wa Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe ambapo hafla ya kuwasha umeme katika kijiji hicho ilifanyika Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Sehemu ya wahudumu wa Afya katika Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe akiendelea kutoa huduma kwa wananchi wa kijiji hicho muda mfupi kabla ya hafla ya kuwasha umeme katika zahanati hiyo iliyofanywa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Sehemu ya wananchi wakimskiliza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko alipokuwa akizungumza mara baada ya kuwasha umeme katika Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendegu akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Mbunge wa Mufindi Kusini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akikata utepe pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya kuwasha umeme Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akizungumza jambo na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuuwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Godfrey Chibulunje wakati wa hafla ya kuwasha umeme Zahanati ya Kijiji cha Mkangwe, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa leo Februari 22, 2024.

 

About the author

Alex Sonna