slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

google porn hacked

hardcore porn

hardcore porn anal porn google admin porn

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

imajbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

marsbahis

pusulabet

pusulabet

grandpashabet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

vdcasino

Hacklink panel

jojobet yeni adres

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

pusulabet

bahsegel

bahsegel giriş

pokerklas

pokerklas

kingroyal

casibom

Featured Kitaifa

NUSU YA WAANDISHI WA HABARI NCHINI TANZANIA WAMERIPOTI KUTISHWA AU KUNYANYASWA WAKIWA KAZINI

Written by mzalendo
Taarifa kwa vyombo vya habari | 16 February 2024 
 
Nusu ya waandishi wa habari nchini Tanzania wameripoti kutishwa au kunyanyaswa wakiwa kazini.
 Tarehe 16 Februari 2024, Dar es Salaam: Nusu (50%) ya waandishi wa habari nchini Tanzania wameripoti kukumbana na vitisho, manyanyaso, mateso au kushambuliwa katika kazi zao. Wawili kati ya kumi (22%) wamekamatwa au kuzuiliwa na mamlaka, na idadi sawa na hiyo wamekumbana na unyanyasaji wa kijinsia (20%) au kunyang’anywa vifaa vyao vya kazi (20%). 

Twaweza ikishirikiana na MISA-TAN, Jamii Forums, UTPC na TAMWA wametoa matokeo haya kwenye jarida la utafiti lenye kichwa cha habari Sautiza Waandishi: Uzoefu na maoni ya waandishi wa habari wa Tanzania. Jarida hili linawasilisha takwimu kuhusu uzoefu na maoni ya waandishi wa habari wa Tanzania. Maoni yalikusanywa kutoka kwa kwa wanahabari 1,202 wakiwemo waandishi wa habari, wahariri na wanablogu. 
Wanahabari hawa wamepatikana kutokana na kanzidata za uanachama wa vyama mbalimbali vya vyombo vya habari ambavyo ni Chama cha Vilabu vya Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Chama cha Wanawake Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA), Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-Tan) na Jamii Forums. 
Mahojiano yalifanyika kwa njia ya simu kati ya Septemba 23 na Novemba 7, 2023. Waandishi wengi wa habari wana ajira zisizo za kudumu, na zisizo za uhakika. Wawili kati ya kumi (20%) wanataja kuwa ajira zao ni za kudumu, ikilinganishwa na sita kati ya kumi (60%) wanaosema ni za muda na wawili kati ya kumi (18%) wanaosema wanaitwa kazini pale tu wanapohitajika. 
Nusu (50%) wanayo mikataba iliyosainiwa. Waandishi wengi wa habari (63%) wanasema ni vigumu kujipatia kipato kinachokidhi mahitaji muhimu kupitia uandishi wa habari, wakati wachache (5%) wanasema si tatizo. Mmoja kati ya waandishi watatu (36%) wana kazi nyingine inayowalipa mbali na kazi yao ya uandishi. 
Ni wanahabari wawili kati ya kumi (19%) tu ndio wangependelea watoto wao wafuate nyayo zao kuwa waandishi wa habari. Uzoefu wa waandishi wa habari kuhusu hatari wakiwa kazini ni mkubwa. Nusu (50%) wanaripoti kwamba wamewahi kutishiwa, kuteswa au kushambuliwa wakiwa kazini. 
Waandishi wa habari kwa kiasi kikubwa wanawatuhumu maafisa wa serikali kama chanzo kikuu cha vitisho; zaidi ya nusu (56%) wanasema maafisa wa serikali ni chanzo kikuu cha vitisho, zaidi ya kundi lingine lolote. Wanahabari walio wengi (86%) wanasema rushwa ipo katika sekta hiyo, ikiwa ni pamoja na 36% wanaosema rushwa ipo kwa kiwango kikubwa. Aina za rushwa zilizokithiri ni malipo kwa ajili ya kuchapisha (55%) au kutokuchapisha (53%) habari fulani. 
Karibu wote (95%) wanasema wanakubali pesa kutoka kwa watu au taasisi zinazohusika na Habari, (23%) wanakubali mara kwa mara, na (72%) wameshakubali mara kadhaa. Mmoja kati ya kumi (10%) anaripoti kupokea ‘mara zote’ zawadi au pesa ili kubadilisha maudhui, na nusu (53%) wanasema wameshafanya hivyo angalau mara moja. 
Aidha, waandishi wa habari wanahisi kwamba vyombo vya habari nchini Tanzania vina uhuru mdogo wa kufanya kazi bila kudhibitiwa au kuingiliwa. Wanahabari sita kati ya kumi hawajisikii huru kuripoti kuhusu rushwa (60%) au masuala yanayohusiana na vyombo vya ulinzi na usalama (61%). 
Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza, alisema: “Waandishi wa Habari wana majukumu muhimu sana nchini, yakiwemo kuwataarifu, kuwaelimisha na kuwaburudisha wananchi, pamoja na kuwawajibisha waliopo madarakani. Lakini mazingira wanayofanyia kazi si rafiki. Wanakutana na vitisho na unyanyasaji kwa sababu tu ya kusaka na kutangaza ukweli. Kipato cha walio wengi sio cha kutegemea, na hakikidhi mahitaji yao muhimu.
 “Wanahabari wanayo haki ya kulindwa dhidi ya vitisho na unyanyasaji. Wanastahili kuwa na mikataba ya kazi na yenye maslahi mazuri. Sheria ziwalinde wanahabari, badala ya kuwatisha ili wasiibue ukweli. Nafasi ya waandishi wa habari katika jamii ni muhimu; sisi sote tunapaswa kufanya kila tuwezalo kuwalinda na kuwastawisha.” 
—- Tamati —-
 Kwa taarifa zaidi wasiliana na: Annastazia Rugaba | e: arugaba@twaweza.org | t: (+255) (0)687 222 197 Maelezo kwa Wahariri Jarida hili na takwimu zake zinapatikana: www.twaweza.org Twaweza inafanya kazi kupitia tafiti, ushahidi na kuchukua hatua ili kuonesha jinsi ambavyo wananchi wanaweza kushirikiana kutatua matatizo yao na kuifanya serikali iwajibike vizuri zaidi kwa wananchi; kuwezesha wananchi kupaza sauti zao kwenye masuala yanayohusu maslahi na uzoefu wao ili yasikilizwe na kuzingatiwa wakati wa kufanya maamuzi; na inahimiza kuweka mazingira wezeshi kwa ushirikishwaji wa wananchi na serikali kuitikia mahitaji ya wananchi nchini Tanzania, Kenya na Uganda. Tufuatilie kwenye Twaweza Tanzania (Facebook), @Twaweza_NiSisi (Twitter) na @Twaweza_EastAfrica (Instagram).
TAZAMA VIDEO HAPA

 

About the author

mzalendo