Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

bahiscasino

ultrabet

vaycasino

sweet bonanza

【鑑定書】のように公的な効力はありませんが、販売元が営業を続けている限り本物であることを保証してもらえるので無いよりかなり安心です。 なお ...

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

casibom güncel giriş

jojobet giriş

sweet bonanza

sweet bonanza siteleri

deneme bonusu

cashwin

mercurecasino

palacebet

romabet

betsalvador

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betbey

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

jojobet

jojobet güncel giriş

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk ifşa

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

holiganbet

betsat

betsat

jojobet

1win

casibom

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

pusulabet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

superbetin

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

Hacklink panel

tümbet

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

parobet

Featured Kitaifa

KATAMBI AKABIDHI GARI LA WAGONJWA, VITANDA HOSPITALI YA MANISPAA YA SHINYANGA

Written by mzalendo
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (katikati) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akikata utepe wakati akikabidhi gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’  ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu amekabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’ na Vitanda 8 kwa ajili ya wagonjwa katika Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga pamoja na majiko 145 ya gesi kwa makundi mbalimbali ya jamii.

Akizungumza wakati wa kukabidhi gari, vitanda na majiko ya gesi leo Alhamisi Februari 8,2024 katika Stendi ya magari ya Kambarage, Mhe. Katambi amesema gari hilo pamoja na vitanda vitasaidia wananchi katika Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga.
“Nimekuja kukabidhi gari hili ‘Ambulance’ niliyopewa na Mama, Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili lisaidie kuboresha huduma za afya katika hospitali yetu ya Manispaa ya Shinyanga. Pia baada ya kutoa vitanda 17 leo nimeamua kuongeza vitanda vingine nane ili vikasaidie katika wodi zetu. Rais Samia anataka wananchi wapate huduma bora za afya”,ameeleza Katambi.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (katikati) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akikabidhi gari la kubebea wagonjwa.
“Lakini pia bado ninaendelea na zoezi la kugawa majiko ya gesi kwa makundi mbalimbali yasaidie katika kutunza mazingiria ili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi ambapo nakabidhi majiko 145 kwa ajili ya Wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Mwenyekiti na Katibu wa Chama cha Walimu Manispaa ya Shinyanga,Maafisa tarafa, watendaji wa kata, shule za sekondari na msingi na Hospitali za Manispaa ya Shinyanga”,ameongeza Mhe. Katambi.
Katika hatua nyingine Katambi amesema serikali inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ikiwemo ya afya, elimu, barabara na ujenzi wa masoko.
Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Revocatus Lutundu amemshukuru Mbunge Katambi kwa kushughulikia haraka changamoto ya gari la wagonjwa.
 
“Tulikuwa na changamoto ya gari la wagonjwa katika Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga, baada ya kumwelezea Mbunge kuhusu changamoto hii, kaifanyia kazi na leo tunapokea gari hili. Tutaendelea kumpa ushirikiano kwani amekuwa msaada mkubwa katika mambo mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi. Mambo meng yamewezekana kutokana na mkono wa Mbunge Katambi”,amesema Lutundu.
Muonekano wa gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’ ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga.
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert amesema gari hilo ni zuri litasaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto.
 
“Tumekuwa na changamoto ya magari ya wagonjwa. Tulikuwa na magari mawili, moja likapata hitilafu,tukabaki na moja ambalo pia lina changamoto, hivyo tumekuwa tukilazimika kutumia gari la utawala kama Ambulance sasa baada ya kupata gari hili ‘Mnyama huyu’ mambo yatakuwa mazuri licha ya kwamba bado tunahitaji magari zaidi”,amesema Dkt. Robert.
Nao Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Odiria Batimayo, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Anord Makombe na Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Elias Masumbuko wamesema gari hilo la wagonjwa litasaidia kupunguza changamoto ya usafiri kwa wagonjwa lakini pia vitanda vitasaidia wagonjwa wodini ikiwa ni matunda mazuri yanayotokana na Uongozi mzuri wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akizungumza leo Alhamis Februari 8, 2024 wakati akikabidhi gari maalumu la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’ na Vitanda 8 kwa ajili ya wagonjwa katika Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga pamoja na majiko 136 ya gesi kwa makundi mbalimbali ya jamii. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akizungumza akikabidhi gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’ na Vitanda 8 kwa ajili ya wagonjwa katika Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga pamoja na majiko 136 ya gesi kwa makundi mbalimbali ya jamii.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akizungumza akikabidhi gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’ na Vitanda 8 kwa ajili ya wagonjwa katika Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga pamoja na majiko 136 ya gesi kwa makundi mbalimbali ya jamii.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (katikati) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akikata utepe wakati akikabidhi gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’  ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (katikati) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akikata utepe wakati akikabidhi gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’  ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (katikati) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu  baada ya kukata utepe wakati akikabidhi gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’  ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (katikati) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akiwa ndani ya gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’  ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Anord Makombe

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (katikati) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akiendesha gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’  ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga. 
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (katikati) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akiendesha gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’  ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga. 
Muonekano wa gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’ ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga. 
Muonekano wa gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’ ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga. 
Muonekano wa vitanda na gari la kubebea wagonjwa ‘Ambulance’ ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga. 
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (kulia) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Revocatus Lutundu vitanda 8 ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi  (katikati) ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Revocatus Lutundu (kushoto) vitanda 8 ajili ya  Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga. Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Odiria Batimayo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Odiria Batimayo (katikati) na viongozi mbalimbali wakifurahia jambo wakati wa makabidhiano ya vitanda vya hospitali
Muonekano wa majiko ya gesi, moja ya vitanda na gari la wagonjwa
Muonekano wa majiko ya gesi yaliyotolewa na Mbunge Patrobas Katambi
Muonekano wa majiko ya gesi yaliyotolewa na Mbunge Patrobas Katambi
Muonekano wa majiko ya gesi yaliyotolewa na Mbunge Patrobas Katambi
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akiendelea na zoezi la kukabidhi majiko kwa makundi mbalimbali ya jamii

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Revocatus Lutundu akizungumza wakati wa hafla hiyo
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Odiria Batimayo akizungumza wakati wa hafla hiyo
Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Elias Masumbuko akizungumza wakati hafla hiyo
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Anord Makombe akizungumza wakati wa hafla hiyo
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert akizungumza
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mhe. Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu akisalimiana na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Robert (kulia).

About the author

mzalendo