Featured Kitaifa

WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI YA IDARA MAALUM ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YATEMBELEA OFISI YA MAKAMU WA RAIS- MTUMBA DODOMA

Written by mzalendo

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Dustan Shimbo (kushoto) akizungumza jambo na Mratibu Mkuu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Dodoma, Bw. Khalid Bakari Hamrani (katikati) pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa na Jamii) Cesilia Nkwamu (kulia) wakati wa ziara ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Dustan Shimbo (kushoto) akizungumza jambo na Mratibu Mkuu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Dodoma, Bw. Khalid Bakari Hamrani (katikati) pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa na Jamii) Cesilia Nkwamu (kulia) wakati wa ziara ya mafunzo kwa Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo (kushoto) akisalimiana na Katibu wa Tume ya Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bw. Hassan Haji (kulia) muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma kwa ajili ya ziara ya mafunzo waliyoifanya leo Jumatatu Febtuari 5, 2024. Katikati ni Mratibu Mkuu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Dodoma, Bw. Khalid Bakari Hamrani na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Kanali Mstaafu Miraji Vuai.

Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Hanifa Selengu (katikati) akizungumza jambo wakati wa ziara ya mafunzo ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Kanali Mstaafu Miraji Vuai

Katibu wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bw. Hassan Haji akizungumza jambo wakati wa wa ziara ya  mafunzo ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024. Kulia ni Mratibu Mkuu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Dodoma, Bw. Khalid Bakari Hamrani

Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasimali Watu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Elisha Msengi (kushoto) akizungumza jambo wakati wa ziara ya  mafunzo ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024. Wengine ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo na Mkurugenzi Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa na Jamii) Bi. Cesilia Nkwamu.

Mratibu Mkuu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Dodoma, Bw. Khalid Bakari Hamrani (katikati) akizungumza jambo wakati wa ziara ya mafunzo ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024. Wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Hanifa Selengu na Katibu wa Tume hiyo Bw. Hassan Haji.

Mkurugenzi Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa na Jamii) Bi. Cesilia Nkwamu akizungumza jambo wakati wa  ziara ya mafunzo ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bw. Elisha Msengi.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo akizungumza jambo wakati wa  ziara ya mafunzo ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024. Wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasimali Watu Bw. Elisha Msengi na Mkurugenzi Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa na Jamii)

Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu (katikati) pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Kanali Mstaafu Miraji Vuai (kushoto) pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao baina yao kilichofanyika katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

About the author

mzalendo