Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

KISHINDO KIKUBWA KUWEKWA WAKFU NA KUSIMIKWA KWA ASKOFU JOVITUS MWIJAGE WA JIMBO LA BUKOBA

Written by mzalendo
Askofu Mwijage (katikati) mwenye fimbo akiwa na baadhi ya maaskofu waliohudhuria ibada hiyo
TAZAMA VIDEO

Msemo wa kihaya usemeo “Tikiliwa Igamba”ambalo tafsiri yake ni “Tukio ambalo litabaki simulizi” ulidhihirika wakati wa tukio kubwa la kihistoria la kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu Jovitus Francis Mwijage, wa jimbo la Katoliki la Bukoba, lililofanyika mjini Bukoba mkoani Kagera.
Mikimikiki na shamrashamra za maandalizi ya tukio hilo kubwa la kihistoria katika jimbo la Bukoba ilianzia kwenye ngazi za familia za wakristo, Vigango, Parokia mpaka jimboni ambako ilihitimishwa na misa takatifu iliyofanyika katika uwanja wa Kaitaba ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Waziri Mkuu wa Waziri wa Nishati, Mh. Doto Biteko, aliyemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Samia Suluhu Hassan.
Misa hiyo iliyoongozwa na Kardinali Protace Rugambwa, Askofu Mkuu wa jimbo kuu la Tabora akisaidiana na aliyekuwa Msimamizi wa Kitume jimbo la Bukoba, Askofu Methodius Kilaini na Askofu Almachius Rweyongeza wa Jimbo la Kayanga, ilihudhuriwa na maaskofu kutoka majimbo mbalimbali nchini, viongozi wa Serikali mkoani Kagera wakiongozwa na Mkuu wa mkoa Fatma Mwassa ,watawa wa kiume na kike, viongozi wa maadhehebu mbalimbali , maelfu ya waumini kutoka parokia mbalimbali za jimbo Katoliki la Bukoba na majimbo jirani waliojawa na bashasha na furaha ya kumpata Askofu mpya.
Pia ibada hiyo ilihudhuriwa na Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Tanzania, Askofu Mkuu Angelo Acattino.
Askofu Mwijage akikabidhiwa fimbo na Kardinali Rugambwa wa Jimbo Kuu la Tabora katika ibada hiyo.
Vikundi mbalimbali vya kwaya kuanzia za watu wazima mpaka za watoto zilizoimba katika ibada hiyo zingine kwenye maandamano kwenye sehemu za barabara alizopita Askofu Mwijage kutoka Rwamishenye hadi kanisa kuu la jimbo zilileta shamrashamra ya pekee katika mji wa Bukoba na vitongoji vyake bila kusahau wananchi wengi waliojipanga misururu barabarani kumshangilia bila kujali mvua iliyokuwa inanyesha katika maeneo mbalimbali mjini humo.Pia kulikuwepo na tukio la mkesha wa ibada ya Masifu ya jioni iliyoongozwa na Askofu Flavian Kassala, wa Jimbo Katoliki la Geita, ambayo ulihudhuriwa na waumini wengi wakiwa wanasubiri tukio hili muhimu la kihistoria kwa shauku kubwa.
Akiwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Samia Suluhu Hassan, katika ibada hiyo, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mh.Doto Biteko, alisema Serikali itampa ushirikiano Askofu Mwijage na kanisa Katoliki ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Dk.Biteko, alisema Rais Samia amehimiza umuhimu wa kujenga Taifa lenye uhuru na haki kwa kuwa haki ulijenga Taifa na kusisitiza kuwa zipo changamoto zinazotukabili kama Taifa ambazo ili kuziondoa kunahitaji kuwepo na ushirikiano miongoni mwetu licha ya kutofautiana kwa mawazo na mitizamo.
Kwaya mbalimbali zikitumbuiza wakati wa kumkaribisha Askofu Mwijage katika makazi yake yaliyopo Ntungamo Bukoba.
Akizungumzia utendaji wa Akofu Mwijage, Dk. Biteko, alisema waumini wa Katoliki wa Bukoba wamempata kiongozi wa kiroho, Mchumi, mlezi na mbunifu anayetegemewa na wengi kuwafundisha na kuwaelekeza katika njia sahihi za kiroho na kimwili.
Awali akizungumza kabla ya kumweka wakfu, Kardinali Rugambwa, amemkubusha askofu Mwijage, kuzingatia nafasi aliyokabidhiwa kuwa ni mali ya Kristo hivyo aishi kwa wito kutekeleza utume wake kwa kumsikiliza Kristo.
 
“Wapende pia watawa wa kiume na wa kike ukiwaamini na kukuza mchango muhimu katika utume hapa Bukoba, wapende waamini na walei ukiwaalika na ukiwahamasisha kushiriki kikamilifu katika maisha, utume wa kanisa ili jimbo la Bukoba lipate sura ya kisinodi ya kutembea pamoja, ”alisema.
Akiongea katika ibada hiyo, Askofu Mwijage ambaye amechukua nafasi ya Askofu Desderius Rwoma aliyestaafu mwaka 2022 ,aliahidi kushirikiana na mapadri kuendeleza pale alipoacha mtangulizi wake.
 “Kwa mapadri, watawa wa kike na wa kiume wote nawaita kuendeleza jimbo letu,watanguzi wetu walifanya kazi nzuri iliyotukuka ninawaomba tuunganishe vipaji vyetu kuendeleza jimbo kiroho na kiuchumi”,alisisisitiza.
Tukio hilo la kihistoria katika kanisa kwenye jimbo Katoliki la Bukoba liliambatana na habari ya kustaafu kwa aliyekuwa Msimamizi wa Kitume jimbo la Bukoba, Askofu Methodius Kilaini ambaye amelitumikia kanisa kwenye nafasi mbalimbali kwa uadilifu mkubwa kwa kipindi cha zaidi ya miaka 50.
Askofu Mwijage alizaliwa Bukoba, Desemba 2, 1966, baada ya masomo ya kipadre, Julai 20, 1997 alipewa daraja takatifu la la upadre.
Amefanya kazi katika parokia mbalimbali katika jimbo la Bukoba ikiwemo kuwa mwalimu na mlezi katika seminari ndogo ya Rubya.
Kuanzia mwaka 2005 hadi 2011 alitumwa na jimbo la Bukoba kwa ajili ya kujiendeleza kwa masomo ya juu na hivyo kupata shahada ya uzamivu kwenye historia ya kanisa mwaka 2011.
Kati ya mwaka 2011-2012 alikuwa jaalimu wa historia ya Kanisa Seminari Kuu ya Segerea.Mwaka 2012 hadi 2023 aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mashirika ya Kimisionari ya Kipapa, PMS, Tanzania.
Kuanzia mwaka 2012 hasi uteuzi wake Oktoba 19 mwaka jana,alikuwa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja waMapadre Wazalendo Tanzania (UMAWATA) na kuanzia mwaka 2020 ni Mjumbe wa Kamati ya Kimataifa ya Uchumi ya Mashirika ya Kimisionari ya Kipapa,PMS.
Askofu Mwijage akikaribishwa katika makazi yake yaliyopo Ntungamo Bukoba.
Kwaya mbalimbali zikitumbuiza wakati wa kumkaribisha Askofu Mwijage katika makazi yake yaliyopo Ntungamo Bukoba.
Askofu Mwijage akikaribishwa katika makazi yake yaliyopo Ntungamo Bukoba.
Askofu Mwijage akikaribishwa katika makazi yake yaliyopo Ntungamo Bukoba.

About the author

mzalendo