Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari, 2024.

Previous articlePATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 24,2024
Next articleRAIS SAMIA AIMARISHA DEMOKRASIA NCHINI KWA KURUHUSU MAANDAMANO,ATAJWA KUWA MAMA WA DEMOKRASIA TANZANIA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here