Featured Kitaifa

KATIBU MKUU MSTAAFU DANIEL CHONGOLO AKABIDHI OFISI KWA DKT. NCHIMBI

Written by mzalendo

Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Comrade Daniel Godfrey Chongolo akimkabidhi nyaraka mbalimbali Katibu Mkuu Mpya wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya nafasi hiyo katika shughuli maalum iliyofanyika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma

About the author

mzalendo