marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

meritking

vdcasino

Featured Kitaifa

BASHE ATAJA SABABU UPUNGUFU WA SUKARI, TANI 100,000 ZAAGIZWA

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa siku kutokana na mvua za El-nino zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini.

Amesema mvua hizo zimeathiri hali ya uvunaji wa miwa mashambani na kupunguza kiwango cha sukari katika miwa kwa zaidi ya asilimia 25.

Akitoa kauli ya serikali leo Jumamosi kuhusu hali ya sukari nchini, Bashe amesema katika kukabiliana na uhaba wa sukari ambao sasa umefikia tani 30,000, serikali imetoa kibali kwa wenye viwanda kuagiza sukari tani 100,000 ambayo inatarajiwa kuwasili nchini tarehe 23 – 24 Januari mwaka huu.

Amesema mahitaji ya sukari kwa siku nchini ni tani 1,500 na kutokana na hali hiyo bei ya rejareja ya sukari imepanda kutoka 2,700, 3000 hadi kufikia 4000.

Amesema uhaba wa sukari sasa umefikia tani 30,000 ikilinganishwa na uhaba wa tani 200,000-150,000 kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

“Uzalishaji wa sukari katika taifa kwa kipindi cha miaka mitatu uliendelea kuongezeka kiasi kwamba sugar gap kwa mwaka jana ilishuka mpaka kufika wastani wa tani 30,000 na mwaka huu tulitarajia kumaliza kabisa gap ya sukari katika Taifa letu.

“Kwamba kufikia kipindi cha msimu wa Aprili mwaka huu tungeweza kufikia uzalishaji wa tani zaidi ya 500,000. Mwaka jana tulizalisha tani 460,000 tukawa na gap ya tani 30,000 ambazo tuliagiza na tulijua kwamba tunafika mahali pa kujitosheleza.

“Kwa kipindi cha miaka mitatu Sugar gap yetu imeshuka kwa wastani wa tani 150,000- 200,000 mpaka kufika tani 30,000. Hizi ni kazi kubwa ambazo zimefanywa na sekta binafsi kwa kushirikiana na serikali,” amesema.

Amesema mwaka huu wamepata ‘shock’ kutokana na uzalishaji wa viwandani kushuka.

Haya hivyo amesema kutokana na hatua zilizochukuliwa anaamini ifikapo katikati ya Februari hali ya upatikanaji wa sukari itaanza kurejea katika hali ya kawaida na kutokuwa na madhara yoyote.

“Tunaamini kwamba mvua hizi zitaendelea mpaka mwezi wa Februari na Machi, tutaendelea kutoa idhini ya uagizaji wa sukari ili kuendelea kumlinda mlaji na tumeagiza bodi ya sukari kufanya kazi kwa karibu na wenye viwanda kuhakikisha stability na bei ya sukari inarudi katika hali yake,”amesema.

Pamoja na mambo mengine amewaonya wenye viwanda na wasambazaji kwamba haki ya kuwalinda aliyopewa, wakiendelea na hali ya kuficha sukari na kuongeza bei ya sukari sokoni, serikali itaiondoa haki hiyo ya kuwalinda kwa sababu hawezi kuwalinda kwa gharama ya mlaji.

“Hivyo niwaombe watanzania tutarudi kwenye hali ya kawaida katikati ya Februari, kutakuwa na sukari ya kutosha. Binafsi nimetembelea mashamba na kiwanda cha Bagamoyo nimeona uvunaji ulivyokwama. Hili ni jambo la mpito na tutarudi kwenye hali yetu ya kawaida,” amesema.

Amesema wizara ya kilimo itaendelea kufuatilia kwa karibu usambazaji wa sukari lakini pia amewaomba wakuu wa mikoa na wilaya wasisite kuangalia hali ya sukari katika maeneo yao ili watambaue kama kuna tatizo la uhaba mkubwa mahali wawasiliana na wizara ili ipeleke eneo hilo kumlinda mlaji.

Akifafanua hali ya uzalishaji viwanda Bashe amesema katika viwanda saba ambavyo kimoja cha Manyara ndio kidogo, uzalishaji upo kama ifuatavyo;

Kiwanda cha Kilombero Sugar ambacho kilikuwa kinazalisha tani 700 kwa siku sasa kinazalisha tani 250.
Kiwanda cha TPC ambacho kilikuwa kinazalisha tani 450 kimeshuka hadi tani 180 na sasa kimepata hitilafu kubwa ya mfumo wa umeme ambayo imesababisha kiwanda kusimama.
Kagera sugar kilikuwa kinazalisha tani 500 kwa siku sasa inazalishaji tani 200-300.

Mtibwa Sugar kilikuwa kina uwezo wa kuzalisha tani 450 kwa siku sasa inazalisha tani 120.
Bagamoyo Sugar kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 160 kimeshuka hadi tani 70 na sasa kimesimamisha shughuli za uzalishaji.

Kiwanda cha serikali Mbigiri au Mkulazi kilichoanza uzalishaji karibuni kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 250 sasa kinazalisha tani 46 kwa siku.

About the author

Alex Sonna