Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI AZUNGUMZA NA MKUU WA MAJESHI CDF MKUNDA IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda  alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza  kwa Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar , zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar jana 12-1-2024, mazungumzo hayo yaliyofanyika  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar  leo 13-1-2024.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendo