Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet giriş

betsat

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

maxwin

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betzula

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betsat

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

Featured Kitaifa

OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI KUTUMIA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA MASHAURI WA MAHAKAMA KUU

Written by mzalendo

Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Ndg. Mark Mulwambo (aliyeketi kulia) akizungumza na Makatibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Mafunzo Elekezi kuhusu Matumizi ya Mfumo Mpya wa Mahakama wa Kusajili na Kuratibu Mashauri (e-CMS) yaliyofanyika Mkoani Morogoro. Aliyeketi kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masjala ya Sheria Ndg. Dennice Leonard wa Ofisi hiyo.

……………………

Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) imeanza kutumia Mfumo wa Mashauri wa Mahakama wa Kieletroniki ili kuongeza matumizi ya TEHAMA, uwazi, uwajibikaji, upatikanaji wa taarifa kwa haraka na imani kwa wananchi kuhusu utendaji kazi wa vyombo vinavyotoa haki kwa wananchi.

Hayo yameelezwa na Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mark Mulwambo wakati akifungua mafunzo elekezi kuhusu Mfumo wa Kieletroniki wa Mashauri ya Mahakama Kuu ya Tanzania (e-CMS) na utunzaji wa nyaraka za Serikali ambapo ufunguzi huo umefanyika leo mjini Morogoro na kusema kuwa OWMS imeona ni muhimu kwa watumishi wake kupata mafunzo kuhusu Mfumo wa Mahakama wa e-CMS ili waweze kuutumia kwa pamoja na kusomana na mfumo wa usajili wa mashauri wa OWMS (CIMS) kwa lengo la kuboresha utendaji kazi, kuongeza tija na ufanisi katika usajili, matumizi na uendeshaji wa mashauri baina ya Mahakama, OWMS, wadau na wananchi.

Ameongeza kuwa Mfumo wa e-CMS umefanikisha yafuatayo ikiwemo utoaji wa taarifa kwa wahusika wa shauri kuwa shauri lao limesajiliwa na kupangiwa Jaji au Hakimu; umetoa mwanya wa kujumuisha taarifa za taasisi nyingine za Serikali ili ziweze kutumika na kusomana; utaendana na taratibu za utendaji wa Mahakama; Majaji wanaandika mwenendo wa mashauri kwenye Mfumo badala ya kuandika kwenye majalada; unapanga mashauri kwa kila Jaji badala ya Jaji mmoja kuwa na mashauri mengi au machache. 

Pia, Mfumo wa Mahakama wa e-CMS umefanikisha usajili wa namba ya utambuzi wa kesi ambayo haijirudii na kutumiwa na Mahakama nyingine; umesajili taarifa za mashauri ya Mahakama ya Rufaa ambapo hapo awali haikuwepo; umetambua na kuruhusu matumizi ya taarifa kutoka NIDA, BRELA, Chama cha Mawakili wa Tanganyika, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na taarifa za taasisi nyingine; umetambua na kubaini usajili wa Mawakili na Waendesha Mashtaka halali kwa kuwatambua kwa namba zao na sio vinginevyo.

Mulwambo amewapongeza Mahakama Kuu ya Tanzania kwa kujenga Mfumo wa e-CMS kwa kuwa haki itapatikana kwa wakati kwa watu wote bila kujali mahali alipo kwa kutumia TEHAMA na kwa kuzingatia kuwa OWMS ni mdau muhimu hivyo mafunzo kuhusu Mfumo wa e-CMS yanatolewa kwa washiriki 27 kutoka OWMS na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kuwawezesha watumishi kubadilishana uzoefu kwenye masuala ya usajili wa mashauri, utunzaji wa kumbukumbu za kielektroniki na namna nzuri ya kuwahudumia wateja wa ndani na nje.

Aidha, amewataka washiriki hao kuzingatia mafunzo hayo ili waweze kutumia ujuzi watakaoupata na kuyafanyia kazi kwa kuzingatia uadilifu na usiri katika utendaji kazi kwa kuwa Masjala ya Sheria ni Ofisi nyeti katika kutunza nyaraka za Serikali. 

Naye Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masjala ya Sheria wa OWMS, ndugu Dennice Leonard amesema kuwa Mfumo wa Mahakama wa e-CMS utawawezesha wananchi kupata taarifa na kufuatilia mwenendo wa mashauri Mahakamani kwa kupata ujumbe kwenye simu zao za mkononi na barua pepe.

Pia, Katibu Sheria wa OWMS, Bi. Victoria Kawacha ameshukuru ujenzi wa Mfumo wa Mahakama wa e-CMS kwa kuwa utarahisisha utendaji kazi na kupunguza muda wa kuandika taarifa za mashauri na nyaraka mbali mbali kwenye majalada kwa kuwa taarifa zitapatikana kwenye Mfumo huo.

Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Ndg. Mark Mulwambo (aliyeketi kulia) akizungumza na Makatibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Mafunzo Elekezi kuhusu Matumizi ya Mfumo Mpya wa Mahakama wa Kusajili na Kuratibu Mashauri (e-CMS) yaliyofanyika Mkoani Morogoro. Aliyeketi kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masjala ya Sheria Ndg. Dennice Leonard wa Ofisi hiyo.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masjala ya Sheria Ndg. Dennice Leonard wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali akichangia mada kuhusu namna Mfumo Mpya wa Mahakama wa Kusajili na Kuratibu Mashauri (e-CMS) unavyofanya kazi wakati wa mafunzo yaliyofanyika Mkoani Morogoro.

Baadhi ya Makatibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wanaoshiriki Mafunzo Elekezi kuhusu Matumizi ya Mfumo Mpya wa Mahakama wa Kusajili na Kuratibu Mashauri (e-CMS) wakifuatilia mada kuhusu namna mfumo huo unavyofanya kazi katika mafunzo hayo yaliyofanyika Mkoani Morogoro.

Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Ndg. Mark Mulwambo (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Makatibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua Mafunzo Elekezi kuhusu Matumizi ya Mfumo Mpya wa Mahakama wa Kusajili na Kuratibu Mashauri (e-CMS) yaliyofanyika Mkoani Morogoro. Wa kwanza kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masjala ya Sheria wa Ofisi hiyo Ndg. Dennice Leonard na wa kwanza kushoto ni Wakili wa Serikali, Bi. Emma Ambonisye.

About the author

mzalendo