Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

Featured Kitaifa

ZIARA YA DKT. BITEKO MKOANI MTWARA YAPELEKEA MITAMBO ILIYOSIMAMA KUANZA KUZALISHA UMEME

Written by mzalendo

*Kituo cha Afya Msimbati chaanza kujengwa

*Wananchi Songosongo nao hawajasahaulika

*RC Mtwara amshukuru

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko mkoani Mtwara tarehe 14 na 15 Novemba 2023 imeleta matokea chanya kwani maagizo yote aliyoyatoa yameanza kufanyiwa kazi ikiwemo mitambo ya umeme ambayo ilikuwa haifanyi kazi kwa muda mrefu sasa imeanza kuzalisha umeme.

Amesema hayo wilayani Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi, wakati wa hafla ya uwekaji saini Mkataba wa Mauziano ya Gesi Asilia itakayozalishwa katika eneo la Ntorya Kitalu cha Ruvuma kilichopo mkoani Mtwara na uwekaji saini hati ya Makubaliano kwa ajili ya kuanzisha mahusiano ya kujenga miundombinu ya kusambaza Gesi Asilia kwa teknolojia ya miundombinu midogo ya kubadilisha Gesi Asilia kuwa Kimiminika (Mini-LNG).

Amesema kuwa, Dkt. Doto Biteko akiwa mkoani Mtwara alifanya ziara katika kituo cha umeme mkoani humo na kukuta mitambo miwili ya umeme haifanyi kazi kwa muda mrefu ambapo alitoa agizo kwa TANESCO kuhakikisha mitambo hiyo inatengemaa na kuanza kuzalisha umeme ili kupunguza changamoto ya upatikanaji umeme.

Ameeleza kuwa, kutokana na agizo hilo la Dkt. Biteko, mitambo hiyo imefanyiwa ukarabati na sasa inafanya kazi na kuongeza megawati 6.5 kwenye mzunguko.

Ameongeza kuwa, kazi ya ujenzi wa eneo ambalo litawekwa mtambo mwingine wa megawati 20 mkoani humo unaendelea kwa kasi kubwa hali itakayozidi kuimarisha hali ya umeme na kuchochea uwekezaji.

Vilevile amesema kuwa, kazi ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha Afya katika Kijiji cha Msimbati inaendelea na hii inatokana na ziara ya Dkt. Biteko katika visima vya kuzalisha Gesi Asilia na mitambo ya kuchakata gesi iliyopo Mnazi Bay, Kata ya Msimbati ambapo aliagiza wananchi katika eneo hilo wapate huduma bora ikiwemo ya Afya, Barabara na pia kupata gawio la ushuru wa huduma linaloenda kwenye Halmashauri.

Ameongeza kuwa, kile anachokisisitiza Dkt. Biteko ni kuwa, miradi inapotekelezwa katika eneo lazima ibadilishe maisha ya wananchi, ikiwemo pia upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile Shule, Vituo vya Afya, Barabara na Maji.

Katika hatua nyingine, Kanali Makame amemshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutekeleza miradi ya kimkakati mkoani Mtwara ikiwemo ya Afya, Miundombinu, Nishati na kwamba mradi huo wa Gesi Asilia wa Kitalu cha Ruvuma unaotekelezwa mkoani Mtwara wataulinda na kuutunza kwa ajili ya Wananchi mkoani Mtwara na Taifa kwa ujumla.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameeleza kufurahishwa na utekelezaji wa maelekezo aliyoyatoa wakati wa ziara yake na hii inajumuisha maagizo aliyoyatoa wakati alipofanya ziara yake katika Kisiwa cha Songosongo ambapo aliagiza masuala mbalimbali ikiwemo ya wananchi kupatiwa usafiri wa uhakika utakaowawezesha kuvuka maji kwenda wilayani Kilwa na pia kusambaziwa na kupatiwa umeme wa uhakika.

Dkt. Biteko amesema hali ya umeme katika Mkoa wa Lindi na Mtwara itazidi kuimarika baada ya kuingia pia kwenye gridi ya Taifa ya umeme kutokana na laini ya msongo wa kV 220 inayojengwa kutoka Songea hadi Mtwara-Lindi na hii inaenda na sambamba na ujenzi wa laini nyingine za umeme katika maeneo tofauti ya nchi pamoja na ujenzi wa vituo vya kupoza umeme.

About the author

mzalendo