marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

casinomilyon

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

meritking

vdcasino

Featured Kitaifa

KAPINGA AKAGUA UJENZI WA FLOW METER NA MAPIPA MAPYA YA KUHIFADHI MAFUTA BANDARINI

Written by mzalendo

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga(katikati) akitembelea na kukagua Miundombinu ya Upakuaji wa Mafuta ya aina yote yanayoingia na kutoka nchini wakati wa ziara yake ya kikazi katika Wakala huo, Jijini Dar es salaam.

 

Na.Mwandishi Wetu-Dar Es Salaam

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ya Kupimia Mafuta yanayoingia na kutoka nchini Pamoja na Ujenzi wa Mapipa mapya ya Kuhifadhi Mafuta Bandarini.

Mhe. Kapinga amefanya ziara hiyo Tarehe 9, Januari 2024, ikiwa ni kufuatilia maelekezo ya Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati aliyoyatoa mwishoni mwa Mwezi Oktoba, 2023 alipotembelea Wakala huo na kuagiza kuwa Ujenzi wa Miundombinu Mipya ya kupimia Mafuta yanayoingia na kutoka nchini (Flow Meter) ikamilike kwa wakati na isiathiri utendaji kazi.

Flow Meter inamilikiwa na Serikali kwa asilimia 100 na Mapipa hayo mapya yanamilikiwa na Serikali kwa Asilima 50 kupitia Kampuni yake ya Uhifadhi wa Mafuta TIPER Pamoja na Kampuni ya Orxy kwa Asilima 50 na yana uwezo wa kuhifadhi Lita za Ujazo Milioni 60.

Mara baada yakuona maendeleo ya Ujenzi huo, Mhe. Kapinga amesema kuwa Ujenzi wa miundombinu hiyo unaendelea vizuri na utakamilika kwa wakati kama ilivyoelekezwa.

Amesema kukamilika kwa Ujenzi wa Mapipa hayo mapya kutaongeza ufanisi wa kuhifadhi mafuta mengi zaidi tofauti na ilivyo sasa na kwa upande wa Flow Meter kutapunguza foleni za Meli za Mafuta Bandarini.

Baada ya ziara hiyo Mhe. Kapinga alipata fursa ya kuzungumza na Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala huo Pamoja na Menejimenti ambapo Pamoja na mambo mengine ameulekeza wakala huo kueleza Umma majukumu wanayofanya katika kuwa hudumia watanzania.

Sambamba na hilo amewataka PBPA kutumia njia mbalimbali ikiwemo Vyombo vya Habari, Mikutano pamoja na Semima kwa watu wa makundi tofauti ili taarifa zao ziwafikie wananchi wote kwa haraka na wakati sahihi.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya PBPA, Mhandisi Lutengano Mwakahesya Pamoja na Mtendaji Mkuu wa PBPA, Erasto Simon wamemueleza Naibu Waziri huyo kuwa wamepokea maelekezo yote na kuahidi kuyafanyia kazi.

Katika ziara hiyo Naibu Waziri ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka, pamoja na Viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Nishati na PBPA.

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wakati wa ziara yake ya kikazi katika Wakala huo, Jijini Dar es salaam.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athuman Mbuttuka akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) Wakati ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga (Hayupo pichani) alipotembelea Wakala hiyo,  Jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja(PBPA) Mha. Lutengano Mwakahesya akieleza maendeleo ya kazi zinazofanywa na Kampuni hiyo wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga (hayupo Pichani) iliyofanyika  Jijini Dar es salaam.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) Erasto Simon akieleza mafanikio na kazi zinazofanywa na Kampuni hiyo wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Judith Kapinga iliyofanyika Jijini Dar es salaam.

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga(katikati) akitembelea na kukagua Miundombinu ya Upakuaji wa Mafuta ya aina yote yanayoingia na kutoka nchini wakati wa ziara yake ya kikazi katika Wakala huo, Jijini Dar es salaam

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga akizungumza na Wajumbe wa Bodi na Menejimenti ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wakati wa ziara yake ya kikazi katika Wakala huo,  Jijini Dar es salaam.

Picha inayoonesha Mapipa Mpya yanayojengwa kwa ajili ya kuhifadhi Mafuta yanayomilikiwa na Kampuni ya Uhifadhi wa Mafuta (TIPER.)

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga (wa nne toka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wakati wa ziara ya kikazi  Jijini Dar es salaam.

About the author

mzalendo