Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akichangia mjadala wakati wa Mkutano wa 27 Maspika na Wenyeviti wa Mabunge Wanachama wa Jumuiya ya Madola wakati wa uwasilishaji mada kuhusu usalama wa Wabunge unaofanyika katika Ukumbi wa Speke Resort Munyonyo nchini Uganda leo tarehe 6 Januari, 2024.

Previous articleMAKAMU WA RAIS APOKEA TAARIFA YA UANDISHI WA KITABU CHA MIAKA 60 YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Next articleDKT. BITEKO AANZA ZIARA YA KIKAZI ZANZIBAR

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here