Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

betsat

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

marsbahis

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

pusulabet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Starzbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WATANZANIA KUPEWA KIPAUMBELE KWENYE UTOAJI HUDUMA NA USAMBAZAJI WA BIDHAA MIGODINI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Madini Mhe Anthony Mavunde amesema Serikali kupitia Tume ya Madini itaendelea kusimamia manunuzi ya bidhaa na huduma kwa kuhakikisha kipaumbele kinatolewa kwa watanzania kwa mujibu wa Sheria ya Madini,Sura ya 123.

Mavunde ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati akifungua kiwanda cha ukarabati wa mitambo uchimbaji na uchorongaji kinachoendeshwa chini ya ubia wa Kampuni ya *SANDVIK* ya Sweden na *JC GEARS GROUP LTD* cha Tanzania.

“ Kazi kubwa imefanywa na serikali chini ya uongozi wa *Mh Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan* katika kuhakikisha kunakuwepo na mazingira mazuri ya uwekezaji na hivyo kuvutia ushiriki wa kampuni kubwa za Madini katika mnyororo mzima wa thamani kwenye sekta ya madini.

Kwa kuzingatia hilo Serikali ilifanya mabadiliko kwenye sheria ya Madini mwaka 2017 yaliyopelekea kutungwa kwa kanuni za ushirikishaji wa Watanzania za mwaka 2018 ili kuweka usimamizi thabiti ya ushiriki wa watanzania kwenye sekta ya madini.

Matunda ya Kanuni ni hapa leo kwenye ufunguzi wa kiwanda cha kukarabati mitambo ya hudum za madini ambacho kinamilikiwa kwa ubia kati ya Kampuni ya Kitanzania na ya Sweden.

Huu ndio muelekeo ambao serikali itauchukua kuhakikisha watanzania wengi zaidi wanashiriki katika sekta ya madini.

Miaka michache iliyopita huduma na bidhaa migodini zilikuwa zinapatikana nje ya nchi kwa asilimia zaidi ya 90,kwasasa tunaendelea kuwajengea uwezo watanzania ili haya yote yafanyike ndani ya nchi kwa asilimia kubwa”Alisema Mavunde

Akitoa maelezo ya awali Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JC GEARS GROUP LTD *Ndg. James Makanyaga* amesema mabadiliko ya sheria ya Madini yameongeza ushiriki wa watanzania kwenye uchumi wa sekta ya madini kwa kiwango kikubwa na pia yamechochea upatikanaji wa Ajira kwa watanzania.

About the author

Alex Sonna