Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

grandpashabet giriş

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

MRADI WA UMEME- RUSUMO (80 MW) WAFIKIA ASILIMIA 99.9

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati wa kikao cha ngazi ya Mawaziri wa Nishati kutoka nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi kuhusu mradi wa umeme wa Rusumo kilichofanyika jijini Mwanza tarehe 18 Desemba, 2023. ambao wanasimamia mradi huo.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mafuta, Nishati na Migodi wa Burundi, Mhandisi Seleman Khamissi (wa Pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kutoka Tanzania, Mhandisi Felchesmi Mramba (wa Pili kulia) wakati wa kikao cha ngazi ya
Mawaziri wa Nishati kutoka nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi kuhusu mradi wa umeme wa Rusumo kilichofanyika jijini Mwanza tarehe 18 Desemba, 2023. ambao wanasimamia mradi huo.

Sehemu ya mradi wa umeme wa Rusumo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 80.

…………..

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati 80 unaotekelezwa kwa pamoja na nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi umefikia asilimia 99.9 na nchi hizo tayari zimeanza kupata umeme kutoka kwenye mradi huo.

 Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 18 Desemba, 2023 jijini Mwanza wakati akiongoza kikao cha ngazi ya Mawaziri wa Nishati ambaye yeye ni Mwenyekiti wa Mawaziri wa wanaosimamia mradi huo kutoka nchi hizo Tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi.

 ” Tumeridhishwa na maendeleo mazuri ya mradi mpaka sasa, tunawapongeza Bodi na Watendaji kutoka kampuni ya umeme ya Rusumo na wakandarasi kwa usimamizi na utekelezaji wa mradi huu.” Amesema Dkt. Biteko

 Dkt. Biteko amesema  Mawaziri hao wamekubaliana kuwa, mradi huo uzinduliwe mwezi Machi mwaka 2024 hivyo wamemtaka mkandarasi kukamilisha  mradi huo mapema na atoe cheti cha kukamilisha mradi.
Amesema uzinduzi huo utafanyika katika eneo la mradi huku mwenyeji wa shughuli hiyo akiwa ni Tanzania.

 Amesema kuwa, mradi huo una umuhimu kwa nchi zote tatu kwani bado nchi hizo zina changamoto ya upatikanaji wa uhakika wa umeme hivyo kukamilika kwa mradi huo kutapunguza changamoto hizo na kuongeza uimara kwenye gridi.

Dkt. Biteko amewashukuru Rais wa Tanzania, Mhe.  Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye na Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame kwa msukumo wanaotoa katika utekelezaji wa mradi huo ambao umepelekea kufikia asilimia 99.9.

Vilevile, Dkt. Biteko ameshukuru wadau mbalimbali waliopelekea  mradi huo kutekelezwa ikiwemo Benki ya Dunia (WB) na Benki ya Maendeleo Afrika ( AfDB) na amewakaribisha kuwekeza kwenye miradi mingine ya uzalishaji umeme inayotarajiwa kutekelezwa nchini.

 Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mafuta, Nishati na Migodi wa Burundi, Mhandisi Seleman Khamissi ambaye alimwakilisha Waziri wa Wizara hiyo amesema kuwa, nchi zote Tatu zimekubaliana kuwa mradi huo uzinduliwe mwezi Machi na kwamba nchi hiyo itafaidika na megawati 27 zitakazotoka kwenye mradi huo ambao utasaidia kupunguza changamoto za upatikanaji umeme kwenye nchi hiyo.

 Kutoka Rwanda kikao hicho kilihudhuriwa na Waziri wa Miundombinu, Dkt. Jimmy Gasore ( ambaye alishiriki kwa njia ya  mtandao) na kutoka Tanzania, viongozi waliohudhuria ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba na Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga ambaye ni Mwenyekiti wa  wa Bodi ya Kampuni ya Umeme ya Rusumo.

Mradi wa umeme wa Rusumo utazalisha megawati 80 ambapo kila nchi itapata megawati 27 za umeme.

About the author

mzalendo