marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

lordbahis

NervEase

sapanca escort

sakarya escort bayan

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

holiganbet

marsbahis

imajbet giriş

imajbet

parmabet

piabellacasino

mislibet

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet güncel giriş

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

goldenbahis

imajbet

imajbet giriş

imajbet güncel giriş

ngsbahis

kralbet giriş

bahiscasino

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

Deneme Bonusu Veren Siteler 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

süperbetin

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

romabet

meritking

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

jetbahis

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

norabahis

marsbahis

nesinecasino

holiganbet

mercurecasino

casinowon

grandpashabet

Featured Kitaifa

JKCI YAVUNJA REKODI MATIBABU YA MOYO

Written by mzalendo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu alimjulia hali Mzee Kutbuddin Fakhryddin Taibali ambaye amefanyiwa upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI). Upasuaji huo umefanyika kwa mara ya kwanza hapa nchini katika kambi maalumu ya matibabu iliyofanywa na wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao kutoka Hospitali ya Starcare ya nchini India.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu alimjulia hali Mchungaji Donald Lema ambaye amefanyiwa upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu akizungumza na wataalamu wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Hospitali ya Starcare ya nchini India mara baada ya kumalizika kwa kambi maalumu ya upasuaji mdogo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI). Wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 walibadilishwa Valvu katika kambi hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Hospitali ya Starcare ya nchini India mara baada ya kumalizika kwa kambi maalumu ya upasuaji mdogo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI). Wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 walibadilishwa Valvu katika kambi hiyo.

Picha na JKCI

Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam

Kwa mara ya kwanza tangu huduma za matibabu ya moyo zianze kutolewa nchini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imefanya upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI)

Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika kambi maalumu ya matibabu ya siku mbili iliyofanywa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa JKCI na wenzao wa Hospitali ya Starcare ya nchini India.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu alisema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali katika sekta ya afya hii ikiwa ni pamoja na kujenga majengo ya kisasa, kusomesha wataalamu na kuunua vifaa tiba vya kisasa kumewezesha kufanyika kwa upasuaji huo.

Dk Jingu alisema kutokana na umuhimu mkubwa wa sekta ya afya Serikali itaendelea kuboresha huduma ya afya ikiwa ni pamoja na kusomesha wataalamu katika  nchi mbalimbali ambao watakuja kutoa matibabu ya kibingwa nchini.

Kwa Julai hadi Desemba mwaka huu alidokeza kuwa JKCI imehudumia zaidi ya wagonjwa 3,000 katika kufanya upasuaji mkubwa na mdogo wa moyo na kusisitiza  Serikali itaendelea kuhakikisha  wananchi wanapata huduma za kibingwa za matibabu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge aliishukuru Serikali kwa kuiwezesha Taasisi hiyo ambayo imeweza kufanya  matibabu hayo ya kihistoria ambapo kwa nchi za Afrika  hakuna hospitali ya Serikali inayotoa huduma hiyo.

“Wagonjwa wa namna hii ambao ni wengi na walikuwa hawajui waende kutibiwa wapi, wengine tulikuwa tunawapeleka India, Afrika kusini kupata matibabu ambako walitumia fedha nyingi kulipia matibabu haya”,.

“Serikali ya awamu ya sita imetuwekea vifaa vingi ambavyo vimewezesha wagonjwa hawa kufanyiwa matibabu, hata wenzetu walifurahia aina ya vifaa tulivyonavyo ambavyo vimewawezesha wataalamu wetu kufanya upasuaji wenyewe kwa asilimia 90”,alisema Dkt. Kisenge.

Aidha Dkt. Kisenge alisema JKCI imeendelea  kuwa kituo cha utalii tiba ambapo wagonjwa kutoka nchi 20 za Afrika zinafika kwenye taasisi hiyo kupata matibabu

kutokana na wingi wa wagonjwa, aliiomba Serikali jengo lingine kwaajili ya kuwahamishia wagonjwa ombi ambalo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Jingu alisema linafanyiwa kazi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Tiba ya Moyo Dkt. Tatizo Waane alisema ugonjwa huo hutokana mabadiliko ya mwili, alieleza kwamba kwa watu wazima tatizo hilo huchangiwa na umri mkubwa ambapo valvu husababisha kuzalishwa kwa madini chokaa ndani ya mshipa wa moyo.

“Chokaa hizo hujikusanya na baadae hufanya damu kushindwa kutoka na kuingia kwenye moyo hivyo figo, ubongo na viungo vingine mwilini huanza kupata damu kidogo na mhusika huanza kupata maumivu ya kichwa na kifua,”alisema Dkt. Waane.

Dk Waane ambaye pia ni daktari bingwa wa moyo na mishipa ya damu alisema kupitia njia ya tundu dogo daktari humhudumia mgonjwa ndani ya saa moja hadi mbili na mgonjwa kuondoka wodini siku inayofuata tofauti na upasuaji mkubwa wa kufungua kifua ambao mgonjwa hutumia zaidi ya wiki wodini.

Kuhusu gharama ya matibabu alisema, mgonjwa mmoja hapa nchini sasa atatibiwa kwa shilingi milioni 82 tofauti na nje ya nchi ambapo mgonjwa anatibiwa kwa shilingi milioni 150.

 Nao wagonjwa waliofanyiwa upasuaji huo mdogo wa kubadilisha Valvu walishukuru kwa huduma waliyoipata na kusema kuwa imewasaidia kupunguza maumivu ya matibabu ambayo wangeyapata kama wangefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo.

“Nilipelekwa Cathlab jana mchna kwaajili ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha Valvu na ilipofika jioni nilipelekwa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) leo asubuhi wakanirudisha wodini ninamshukuru Mungu ninaendelea vizuri na daktari ameniambia kesho jioni nitaruhusiwa kurudi nyumbani”,.

“Ninaishukuru sana Serikali kwa kunipunguzia gharama ya matibabu, gharama ya upasuaji huu ni shilingi milioni 82 lakini mimi nimepunguziwa na kulipia shilingi milioni 25,500,000/= ninawasihi watanzania wenzangu wasiende nje ya nchi kutibiwa moyo kwani huduma hizi zinapatikana hapa nchini na wataalamu wako wa kutosha”, alisema Mchungaji Donald Lema mkazi wa  Machame Kilimanjaro.

About the author

mzalendo