Featured Kitaifa

DC MPANDA AMEIPONGEZA EWURA USHIRIKISHWAJI WA WADAU

Written by mzalendo

 

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Mhe. Jamila Y. Kimaro (kulia), akipokea Taarifa ya Utendaji wa EWURA kwa mwaka 2022/23 na vipeperushi, kutoka kwa Kaimu Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mha. Walter Christopher, ofisini kwa Mkuu wa na Wilaya hiyo, leo,Desemba 13,2023.

…………….

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Mhe. Jamila Y. Kimaro, amepongeza ofisi ya EWURA kanda ya Magharibi, kwa kuwa karibu na Wadau wake na kusikiliza malalamiko, maoni na kujadili masuala mbalimbali ya kiudhibiti katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku.

Ametoa pongezi hizo leo tar.13/12/2023, wakati Kaimu Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mha. Walter Christopher na Ofisa Mwandamizi Huduma kwa Wateja Kanda ya Magharibi, Bi. Getrude Mbiling’i walipotembelea ofisi za Mkuu wa Wilaya huyo kwa lengo la kuitambulisha ofisi na kujadili masuala mbalimbali ya ki udhibiti katika Wilaya ya Mpanda.

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Mhe. Jamila Y. Kimaro (kulia), akipokea Taarifa ya Utendaji wa Ofisi ya  EWURA Kanda ya Magharibi   kutoka kwa Kaimu Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mha. Walter Christopher, ofisini kwa Mkuu wa na Wilaya hiyo, leo Desemba 13,2023.

 

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Mhe. Jamila Y. Kimaro (kulia), akipokea Taarifa ya Utendaji wa EWURA kwa mwaka 2022/23 na vipeperushi, kutoka kwa Kaimu Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mha. Walter Christopher, ofisini kwa Mkuu wa na Wilaya hiyo, leo,Desemba 13,2023.

Mwakilishi wa RPC Mpanda, ACP. David Mutasya, akipokea baadhi ya machapisho ya EWURA kutoka kwa Kaimu Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mha. Walter Christopher, alipotembelea ofisi ya RPC Katavi kwa lengo la kutoa elimu ya udhibiti na kuitambulisha ofisi ya Kanda, leo,Desemba 13,2023.

About the author

mzalendo