Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Michezo

BETWAY YAGAWA VIFAA VYA MICHEZO MBAGALA, YAPANIA KUKUZA SOKA LA TANZANIA KUANZIA NGAZI YA MTAA

Written by Alex Sonna

 Kampuni ya michezo ya kubashiri ya kimataifa, Betway Tanzania imeendeleza programu yake ya kutoa vifaa vya michezo kwa timu za soka za mtaani. Programu hiyo iliyozinduliwa Machi 2022 imelenga kusaidia maendeleo ya michezo nchini Tanzania kwa kutoa vifaa kwa timu za soka ngazi ya chini kabisa. Kupitia programu hiyo timu za mtaani hukabidhiwa mipira, jezi pamoja na soksi. Baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo timu hizo hushindana katika michezo ya mtaani maarufu kama ‘Kombe la Mbuzi’ ambapo mshindi hukabidhiwa mbuzi kama zawadi. 


Mwishoni wa Novemba mwaka huu, Betway iligawa vifaa na kuendesha mashindano ya Kombe la Mbuzi yaliyoshirikisha timu nne za Mbagala Zakhiem wilaya ya Temeke, jijini Dare es Salaam. Timu zilizopata vifaa hivyo na kuingia katika michuano ya Kombe la Mbuzi ni Mizozo FC, Mnarani FC, Wajuba FC, na Mtoni Boys FC. Wajuba FC waliibuka washindi wa jumla na kupata zawadi ya mbuzi wawili baada ya kuifunga Mtoni Boys kwa 2-1. 

 

Akizungumza katika hafla ya kukabidhi vifaa hivyo vilivyofanyika Mbagala Zakhiem, Calvin Mhina, Afisa Masoko wa kampuni ya Betway Tanzania alieleza nia ya kampuni hiyo kuendelea kutoa mchango wake katika sekta ya michezo nchini kwa kuendesha programu mbalimbali zenye manufaa kwa wananchi ikiwemo program ya kugawa vifaa vya michezo kwa timu za mtaani. Mhina alisisitiza kwamba mwendelezo wa pgoramu hii pia umetokana na mrejesho mzuri uliotolewa na wadau wakati na baada ya uzinduzi uliofanyika Tegeta, Dar es Salaam mwaka jana. 

“Leo tuko hapa Mbagala na tunafuraha kuona wanamichezo na wakazi wa Mbagala wanafurahia kupata vifaa hivi kama ambavyo wanamichezo wa Tegeta walifurahia wakati tunazindua program hii mwaka jana. Hii ndio furaha yetu Betway Tanzania kuona programu zetu zikiongeza thamani kwa wanamichezo na sekta ya michezo kwa ujumla” ,amesema Mhina. 

 

Afisa Uendeshaji wa Betway Tanzania, Jimmy Masaoe amebainisha kuwa uamuzi wa kampuni hiyo kuangazia soka la mtaani ni sehemu ya Betway Tanzania kutoa mchango wake kwa jamii na kuchangia katika kukuza maendeleo ya sekta ya michezo nchini Tanzania. 

 

“Programu hii inaitwa Kits for Africa katika ngazi ya bara la Afrika. Katika programu hii Betway inatoa vifaa kwa timu za mtaani ili kusisimua michezo katika ngazi ya chini kabisa kwani huko ndiko ambako vipaji vinakozaliwa. Kwa hapa Tanzania, programu hii pia itakuwa na mchango mkubwa katika kuongeza thamani ya michezo katika ngazi za mitaa. Tumeamua kwenda kufanya zoeozi la kugawa vifaa katika vibanda vya kuonesha michezo maarufu kama vibanda umiza na kufanya mashindano ya Kombe la Mbuzi katika viwanja vya mtaani kabisa ili kugusa vipaji vya mtaani moja kwa moja”, amesema Masaoe. 

Kwa upande wa timu zilizopata vifaa hivyo, nahodha wa Wajuba FC, aliipongeza Betway Tanzania kwa mpango wake huo, na kusema kuwa itaamsha ari ya wanamichezo mitaani na kurudisha hamasa ya vijana kushiriki michezo katika ngazi za mitaa. 

 

“Mara nyingi timu zetu za mtaani huwa tunajichanga ili kupata vifaa kama jezi tunapotakiwa kushiriki mashindano ya mtaani. Mara nyingi kutokana na uhalisia wa maisha imekuwa vigumu kupata kiasi cha kutosha kununua vifaa vyenye ubora kama vilivyotolewa na Betway nah ii imekuwa kikwazo kikubwa kwa wengi wanaopenda michezo kushiriki mashindano mbalimbali. Najua hii kwangu binafsi na kwa timu zote zilizopata vifaa siku ya leo itachochea ushiriki wetu kwenye michezo”, amesema.

Betway Tanzania imeeleza nia yake ya kupanua programu hiyo kufikia mitaa mingi zaidi ya Tanzania kwa lengo la kuchochea maendeleo ya michezo kuanzia ngazi ya mtaa.

 

 

About the author

Alex Sonna