Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MAJALIWA:VYUO VIPYA VYA WATU WENYE ULEMAVU KUJENGWA RUVUMA, KIGOMA NA SONGWE

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kilele cha  Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye ukmbi wa Halmashauri ya  Jiji, Mtumba Dodoma, Disemba 2, 2023.

………………….

*Aiagiza Wizara ya Uchukuzi iweke taa za barabarani kwenye makutano ya reli na barabara

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeanza ujenzi wa vyuo vipya vitatu vya ufundi stadi na marekebisho kwa watu wenye ulemavu katika mikoa ya Ruvuma, Kigoma na Songwe ili kusogeza huduma hii karibu na wananchi.

“Mradi huu katika mwaka wa fedha 2022/2023 ulitengewa shilingi bilioni tatu na katika mwaka 2023/2024 umetengewa shilingi bilioni tatu nyingine. Tayari miundombinu ya madarasa, mabweni, nyumba za watumishi na ofisi za walimu zimeanza kujengwa sambamba na karakana ambazo hazihitaji majengo maalum,” amesema.

Ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Desemba 2, 2023) wakati akizungumza na washiriki na wadau mbalimbali kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu Duniani katika ukumbi wa Halmashauri ya Dodoma Jiji uliopo Mji wa Serikali, Mtumba, Dodoma.

Waziri Mkuu ambaye alikuwa akielezea jitihada za Serikali za kuimarisha ustawi wa jamii ya watu wenye ulemavu nchini, amesema Serikali imetoa shilingi milioni 960 kwa ajili ya ujenzi wa mabweni tisa kwenye shule nane zenye wanafunzi wenye mahitaji maalum katika mikoa ya Shinyanga (Shule ya Buhangija); Njombe (Shule ya Idofi) na Arusha (Shule ya Longido). Mikoa mingine ni Lindi (Shule ya Mtanga); Tabora (Shule ya Goweko); Singida (Shule ya Darajani); Manyara (Shule ya Songambele) na Rukwa (Shule ya Msanzi).

“Kama mtakumbuka, fedha hizo zilitengwa kwa ajili ya sherehe za miaka 61 ya Uhuru mnamo Desemba, 2022 lakini Mheshimiwa Rais wetu kwa mapenzi makubwa alielekeza zikajenge miundombinu ya shule hizo.”

Akifafanua kuhusu kuimarisha upatikanaji wa miundombinu ya elimu, Waziri Mkuu amesema Serikali inaendelea kumalizia ujenzi wa shule maalum ya Mbuye iliyoko Chato, mkoani Geita yenye “blocks” tatu ikiwemo awali, msingi na sekondari ya chini na juu ambayo imekamilika kwa asilimia 95 na ina uwezo wa kuchukua wanafunzi 1,200.

Kuhusu maboresho ya utoaji wa huduma za afya, Waziri Mkuu amesema katika kipindi cha mwaka 2022/2023, Serikali imetoa huduma za afya kwa makundi maalumu kwa msamaha katika vituo vya kutolea ambapo jumla ya wahitaji 5,225,761 walipatiwa huduma kwa msamaha wakiwemo watu wenye ulemavu, na huduma hizo zimegharimu sh. bilioni 570.67.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Uchukuzi ihakikishe kuwa kila palipo na makutano ya reli na barabara pawekwe taa za kuashiria au kifungio cha automatiki cha kuzuia na kuruhusu magari ili kunusuru maisha ya Watanzania.

“Kutokana na kuwepo matukio ya ajali za mara kwa mara zinazohusisha treni na vyombo vingine vya moto, TARURA na TANROADS washirikiane na Shirika la Reli nchini kuhakikisha maeneo yote yenye makutano yanaimarishwa kwa kuwekwa mifumo au alama zenye tahadhari ya kutosha kuweza kudhibiti matukio ya namna hiyo. Aidha, wamiliki wa vyombo pamoja na madereva wote wazingatie alama za barabarani kwa ukamilifu,” amesisitiza.

Sambamba na hilo, Waziri Mkuu amesema kutokana na umuhimu wa kuwa na miundombinu rafiki kwa wenye mahitaji maalum, mamlaka zote zinazohusika katika ujenzi wa barabara yaani TARURA na TANROADS wahakikishe wanazingatia mahitaji ya jamii ya watu wenye ulemavu kwa kuweka miundombinu rafiki pamoja na alama mahsusi kwa usalama wa watu wenye ulemavu.

Pia alizindua Mfumo wa Kielektroniki wa Taarifa na Kanzidata kwa Watu wenye Ulemavu ambao utarahisisha kazi ya kuwatambua watu wwnye ulemavu nchini.

Mapema, Waziri wa Nchi (OWM-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako alisema maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu yanafanyika kila mwaka na yanalenga kutambua mchango wao katika jamii, kubaini changamoto zao na kuangalia namna bora ya kutatua changamoto hizo. “Namshukuru Rais kwa namna Serikali imekuwa ikithamini watu wenye ulemavu na kufanyia kazi changamoto zao,” amesema.

Naye, Katibu Mkuu wa (OWM-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhandisi Cyprian Luhemeja alisema kupatikana kwa uhakika na kwa wakati taarifa za wenye ulemavu waliosajiliwa kuanzia ngazi ya kitongoj hadi Taifa, kutasaidia pia kutambua aina za ulemavu.

Naye, Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA nchini, Dkt. Majaliwa Marwa alisema kwa mujibu wa sensa ya Taifa asilimia 9.3 ya Watanzania ni watu wenye ulemavu ijapokuwa namba hiyo inaweza kuongezeka kwani wenye matatizo akili na mtindio wa ubongo huwa wanafichwa majumbani.

“Tunatakiwa tutambue nguvu, uwezo na mchango wa kila mtu mwenye ulemavu katika jamii jhapa nchini na kwa maano hiyo kuwepo kwa mfumo rasmi, kutrasaidia kutambua watu wenye ulemavu nchini na kubainisha vipawa vyao na michango yao,” alisema.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kilele cha  Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye ukmbi wa Halmashauri ya  Jiji, Mtumba Dodoma, Disemba 2, 2023.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia  kusukuma kiti cha magurudumu, Rahel Buzali baada ya kumkabidhi kiti hicho katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa  ya Watu Wenye Ulemavu  Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya  jiji, Mtumba, Dododma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia  kusukuma kiti cha magurudumu, Kasilo Kassim baada ya kumkabidhi kiti hicho katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa  ya Watu Wenye Ulemavu  Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya  jiji, Mtumba, Dododma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama viatu wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa  ya Watu Wenye Ulemavu  Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya  jiji, Mtumba, Dododma, Disemba 2, 2023. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo