Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

gameofbet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

MAHAFALI YA TATU YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI LITTLE TREASURES YAFANA

Written by Alex Sonna
Mahafali ya tatu ya kidato cha nne ya shule
ya Sekondari Little Treasures iliyopo Manispaa ya Shinyanga yamefanyika leo Ijumaa
Desemba 1, 2023 ambapo jumla ya wanafunzi 63 wamehitimu elimu ya kidato cha nne mwaka 2023 ambapo wavulana
ni 30 na wasichana 33.

Akisoma risala ya shule kwenye mahafali
hayo ,Mkuu wa shule ya Sekondari Little Treasures Alfred Mathias amesema
wanafunzi hao walifundishwa na kuandaliwa vizuri katika taaluma ili waweze
kukabiliana kikamilifu na mitihani ya taifa (NECTA) mwaka huu hivyo wanatarajia
matokeo mazuri kwenye matokeo kama ilivyo kawaida ya shule hiyo.

“Tunapenda kuwafahamisha kuwa katika
matokeo ya mitihani ya mock shule yetu ilikuwa ya pili mkoa kati ya shule 154
na ya kwanza kwenye wilaya kati ya shule 26 kwa kufanya vizuri kwa kupata  wastani wa daraja ‘A’, hii ni ishara nzuri
kwa mitihani yao ya taifa ambayo wameifanya kutoka tarehe 13 hadi
24/11/2013”
, amesema Alfred Mathias.

Alfred Mathias

“Pia tunayo furaha kuwaarifu wazazi na
walezi juu ya matokeo mazuri ya shule ya msingi Little Treasures katika
mitihani ya kumaliza darasa la saba 2023 tumefaulu kwa wastani wa alama 46 ya
50 wanafunzi wote wameweza kupata wastani wa ‘A’ na kufanikiwa kuwa wa kwanza
kwenye wilaya kati ya shule 56 na wa kwanza kwenye mkoa kati ya shule 658
katika kundi letu matokeo haya mazuri ni kwa ushirikiano mzuri kati yetu na
wazazi/walezi kwa ushauri, michango na ada wanazotoa tunashukuru kwa
ushirikiano wanaotupatia”,
amesema Alfred Mathias.

“Kutokana na maendeleo ya teknolojia shule
imefanikiwa kufundisha masomo ya Kompyuta ili kuwapa wanafunzi elimu na ujuzi wa
kutumia kompyuta katika karne hii ya kidigitali lakini pia tunaushukuru viongozi
wa elimu mkoa, wilaya  na kata kwa
ushauri na maelekezo yao katika masuala ya kitaaluma  kulingana na miongozo ya serikali”
, ameongeza Alfred
Mathias.

Akizungumza wakati wa mahafali hayo, Meneja wa shule za
Little Treasures Wilfred Mwita amesema shule za Msingi na Sekondari Little
Treasures zimekuwa chachu kubwa katika sekta ya elimu katika mkoa wa Shinyanga na
taifa kwa ujumla huku akiahidi kuwa wataendelea kuboresha zaidi miundombinu ili
kuwawezesha shule wanafunzi kupata elimu yenye ubora na uhakika.

Wilfred Mwita

“Tunawashukuru
wazazi na walezi kwa kuendelea kutuamini sisi  Little Treasures kuwa sehemu
sahihi ya kupata elimu yenye viwango bora, elimu tunayoitoa imekuwa chachu
kubwa katika sekta ya elimu ndani ya mkoa na taifa kwa ujumla”,
amesema Wilfred
Mwita.

Lucy Mwita

Mkurugenzi
wa Shule za Msingi na Sekondari Little Treasures, Lucy Mwita amesema tangu
shule ya sekondari Little Treasures ilipoanzishwa imeendelea kufanya vizuri
kwenye mitihani ya taifa na imekuwa ikipata wanafunzi katika uwiano sawa kati
ya wasichana na wavulana na kuwawezesha wanafunzi kuendelea na masomo yao ya
elimu ya juu na kuahidi kuja na mpango wa kuanzisha utoaji elimu ngazi ya juu ambayo
ni kidato cha 5 na 6 kwenye shule hiyo.

Naye Mgeni Rasmi Kaimu Meneja kutoka Benki ya NMB Shinyanga
Erick Marandu kwa niaba ya meneja wa benki hiyo ameipongeza shule ya sekondari Little
Treasures kwa maendeleo mazuri katika elimu na kuupa heshima mkoa huo kwa
kuendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya kitaifa huku akiwasihi wanafunzi
hao waliohitimu kidato cha nne kutojihusisha na makundi yasiyofaa mara baada ya
kuhitimu masomo yao na kutoshiriki vitendo viovu ikiwemo matumizi ya dawa za
kulevya na uasherati.

Erick Marandu

“Nitoe
pongezi kwa wazazi na walimu kwa kufanikisha kufikia siku ya leo kwa kutambua
umuhimu wa elimu kwa watoto wetu lakini pia niwasihi wahitimu kuepukana na
makundi na matendo yasiyofaa msijiingize kwenye makundi ya mitaani kwani huu
sio mwisho wa elimu bado kuna safari inaendelea”
, amesema  Erick Marandu.

 

ANGALIA PICHA HAPA CHINI

 

Wahitimu wa kidato cha nne 2023 shule ya sekondari Little Treasures.
Wahitimu wa kidato cha nne 2023 shule ya sekondari Little Treasures.
Wahitimu wa kidato cha nne 2023 shule ya sekondari Little Treasures wakicheza
Wahitimu wa kidato cha nne 2023 shule ya sekondari Little Treasures.
Picha ya pamoja ya meza kuu na wahitimu wa kidato cha nne shule ya sekondari Little Treasures.
Keki maalum
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Little Treasures waliofika kwenye mahafali hayo.
Meza kuu wakifuatilia matukio yaliyokuwa yanaendelea
Burudani ikiendelea
 
Zoezi la ugawaji wa vyeti kwa wahitimu wa kidato cha nne.
Zoezi la ugawaji wa vyeti kwa wahitimu wa kidato cha nne.
Zoezi la ugawaji wa vyeti kwa wahitimu wa kidato cha nne.
Zoezi la ugawaji wa vyeti kwa wahitimu wa kidato cha nne.

About the author

Alex Sonna